Ndoa ya 3 ya Dida yavunjika..

Ndoa ya 3 ya Dida yavunjika..

huyu jamaa nae mjinga sana hadi anampiga mwanamke kiasi hicho!

Dida alitakiwa amuweke ndani kwanza huyu jamaa ashike adabu.
 
Dida amekosea,Na hiyo mume Na yeye amekosea,sio mambo zuri kumpiga mke.
 
Mtoto wa Kitanga na yeye anachitiwa,watanga si ndo wenyewe,kwa nini sasa Dogo kacheat?
 
Dida-1.jpg
 
Back
Top Bottom