Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Hii chemistry ilikua haibalance kabisa
mama na kijana wake..................
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii chemistry ilikua haibalance kabisa
kama unasikilizaga kile kipindi chake cha taarabu basi ndio maneno yake akiwa chumbani haswa kwenye 6 kwa 6 ana mauzi flani hivi ya ndani kwa ndani anapenda kukusema vibaya hata kwa jambo dogo nilitembea nae siku moja but sikuinjoy kabisa nilikereka sana
we acha tu binamu nimevamiwa na boko haramu, jana nilimiita mume wa mbasha mapu.... ndo eti nikapewa ban leo

Ila Edzen anaendana na Jokate ! Nasema tu kwa Mfano .....Anyway Another Ndoa Ndoano za Bongo acha Nikalime miye ...
hahaha...mi naoga halaf unakuja kuniomba password ya simu ukacheze gemu..ni kichapo tu..usikute alimkuta anakata gogo
mama na kijana wake..................
Hivi nani aliibua msemo wa "Kunguru hafugiki?"
Binamu punguza kuchambaa bana halaf niwekee picha ya dida nione alivyojichubuaaa
kama unasikilizaga kile kipindi chake cha taarabu basi ndio maneno yake akiwa chumbani haswa kwenye 6 kwa 6 ana mauzi flani hivi ya ndani kwa ndani anapenda kukusema vibaya hata kwa jambo dogo nilitembea nae siku moja but sikuinjoy kabisa nilikereka sana
hii quote inatokea wapiMshahara kuingizwa siyo kosa cha msingi kabla ya kumtuhumu huyu mhusika je alizichukua hizo fedha zilizokuwa kwenye payroll?Kama alichukua basi ni mwizi na anastahili kushitakiwa na ni aibu kwa taifa hivyo Rais amuondoe mara moja kwenye hiyo nafasi baada ya kufanya uchunguzi kwa kuwasiliana na serikali ya Botswana,na wakati Uchunguzi unafanyika basi asimamishwe kazi kwa muda.Pili kama hakuwa na nia mbaya kwanini baada ya kukubali kazi nyingine asiwandikie barua waajiri wake kwamba hata endelea na kazi hapa inaonyesha kwamba alikuwa na nia ya kutenda kosa?Achunguzwe na hatufai anatia nchi doa na ameshavuruga credibility ya watanzania nchini Botswana.