Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Asante kwa kurekebisha.Mauritius
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa kurekebisha.Mauritius
Haaaah.....nani hiyo?Ukute waligoma kumrusha live
Mkuu hivi kabumbu sio matangazo ya moja kwa moja ambayo leseni yao haiwaruhusu, kama sielewi hivi.Hapana kabumbu itakuwa Live.
Wana leseni ya kuzalisha vipindi kwahiyo nadhani ule utakuwa uzalishaji pia.Mkuu hivi kabumbu sio matangazo ya moja kwa moja ambayo leseni yao haiwaruhusu, kama sielewi hivi.
Wamelewa sifaWamefuta ITV,CLOUDS,STARTV,EATV,TVE,DIZZIMTV,CHANNEL10 n.k Nimeshangaa imejiupdate yenyewe halafu hazimo hizo channels
Kufanya bihashara Tanzania ni ngumu sana. Mambo ya kisiasa yanaingilia vitu vingi muhimu sana.Leseni walionayo haiwaruhusu kufanya live Broadcasting kwa hapa Nchini, leseni yao ya urushaji wa matangazo ya moja kwa moja haikuwa ya hapa Tanzania.
Sijui kama umeelewa.