WanaJF,
Kwa wale waliokuwa wanatilia shaka uhusiano wa Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Dr Wilbroad Slaa na mchumba wake Josephine Mushumbusi wameumbuka kwani tayari mahakama ilishatengua ndoa baina ya Josephine na aliyekuwa mume wake Aminiel Mahimbo.
Talaka inayowatenganisha rasmi Josephine na Mahimbo, ilitolewa na Mahakama ya Mwanzo, Manzese, Dar es Salaam, Aprili 16, mwaka huu, hivyo kuthibitisha kwamba hakuna kizuizi tena upande huo.
Kutokana na sababu hiyo hakuna kipingamizi kinachoweza kuzuia ndoa ya watu hawa mashuhuri katika anga la Tanzania.
Dr Wilbroad Slaa anatarajiwa kufunga ndoa na Josephine Jumamosi Ijayo tarehe 21/07/2012
Ikumbukwe pia Mbunge wa viti maalum wa CDM Rose Kamili aliwahi kuzaa na Dr Slaa lakini hawakuwahi kufunga ndoa.
Naambatanisha Nakala ya HATI YA TALAKA.