Ndoa ya Dr. Slaa na Josephine ni ruksa, hakuna pingamizi tena dhidi yao

Ndoa ya Dr. Slaa na Josephine ni ruksa, hakuna pingamizi tena dhidi yao

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,358
WanaJF,
Kwa wale waliokuwa wanatilia shaka uhusiano wa Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Dr Wilbroad Slaa na mchumba wake Josephine Mushumbusi wameumbuka kwani tayari mahakama ilishatengua ndoa baina ya Josephine na aliyekuwa mume wake Aminiel Mahimbo.

Talaka inayowatenganisha rasmi Josephine na Mahimbo, ilitolewa na Mahakama ya Mwanzo, Manzese, Dar es Salaam, Aprili 16, mwaka huu, hivyo kuthibitisha kwamba hakuna kizuizi tena upande huo.

Kutokana na sababu hiyo hakuna kipingamizi kinachoweza kuzuia ndoa ya watu hawa mashuhuri katika anga la Tanzania.

Dr Wilbroad Slaa anatarajiwa kufunga ndoa na Josephine Jumamosi Ijayo tarehe 21/07/2012

Ikumbukwe pia Mbunge wa viti maalum wa CDM Rose Kamili aliwahi kuzaa na Dr Slaa lakini hawakuwahi kufunga ndoa.

Naambatanisha Nakala ya HATI YA TALAKA.
 
Chadema bana kwa kuchagua mambo leo mahakama imetenda haki lakini linapokuja suala la Lema mahakama imetumwa na Ikulu...

Vipi kuhusu madai ya Rose Kamili, ya Dr Slaa kutelekeza familia yake.
 
Bado hatujui hatma ya pingamizi lililowekwa na Rose!
 
japo sheria inawatambua mwanaume na mwanamke walioishi pamoja kwa muda fulani kama wanandoa pia.sasa sijajua kama nayo inahitaji formal divorce,hiyo ya Slaa na Rose Kamili
 
Chadema bana kwa kuchagua mambo leo mahakama imetenda haki lakini linapokuja suala la Lema mahakama imetumwa na Ikulu...

Vipi kuhusu madai ya Rose Kamili, ya Dr Slaa kutelekeza familia yake.

sijaona mahali popote hapa mtu aliyesema mahakama imetenda haki au la. Umeitoa wapi hiyo? Kwanini usiiwekee thread yake ili usichakachue hii mada? Acheni uccm hadi kwenye family matters!
 
mmmmhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!

Hii nakala mbona mimi siwezi kufungua!!!!!!
 
kwa hiyo tunafurahia Rose kamili na watoto wake wawili kuteseka kwa sababu ya penzi la Josephine na Dk. Slaa?
 
Kadi za hatusi lini, au hii harusi Kiongozi mkubwa si lazima itarushwa live, i can't wait to see Josephine analishwa keki & as well Dr. Slaa publicly... Mahimbo ataalikwa bila shaka ili athibitishe ndoa ni halali, pia Rose Kamili ataalikwa nahisi atapiga kelele..... heheheeeee.....
 
Kwa kauli yake Rose kamali kasema walifunga ndogo labda kama wewe ulikuwa mshenga utakuwa unajua zaidi
 
japo sheria inawatambua mwanaume na mwanamke walioishi pamoja kwa muda fulani kama wanandoa pia.sasa sijajua kama nayo inahitaji formal divorce,hiyo ya Slaa na Rose Kamili

Hawakuishi pamoja kwa sababu Slaa alikuwa bado kwenye parokia.. alikuwa anakuja tu usiku na kuondoka hakukaa nae kwenye roof moja..
 
Kadi za hatusi lini, au hii harusi Kiongozi mkubwa si lazima itarushwa live, i can't wait to see Josephine analishwa keki & as well Dr. Slaa publicly... Mahimbo ataalikwa bila shaka ili athibitishe ndoa ni halali, pia Rose Kamili ataalikwa nahisi atapiga kelele..... heheheeeee.....

angekuwa Jk tungesema dhaifu wa mapenzi lakini Dk . Slaa shujaa wa mapenzi
 
nasikia inapigwa mchana siku ya ramadhani. Kweli bado dk slaa ni Padri. hata hangojei ramadhani ipite. halafu anataka urais wa nchi yetu
 
Back
Top Bottom