Ndoa ya Dr. Slaa na Josephine ni ruksa, hakuna pingamizi tena dhidi yao


Yuko hai
 
Ndoa ya uzeeni tamu tena ya paroko,ila achunge sana vijana wasimwaribie ndoa yake
 
Hivi kama siasa za tanznia zimetawaliwa na issue binfsi,tunaelekea wapi sishangai tz kuwa tunaelekea kwenye nchi za ulimwengu wa 4....oho slaa,ohoo,mke wake...ukisema ni kufunua ndoa za viongozi hapa ni kama kuzimu.hazifai ...let us change our mind jamani.poor thinking
 
Padri anaoa? Duh tena mke wa mtu? hivi mahakama inaweza kutengua ndoa iliyofungwa kanisani huku m/mungu akituma malaika waje kushuhudia? Bw harusi nasikia anautaka urais duh huyu si kalikana kanisa la mungu Je hawezi kweli kulikana taifa la watanzania? Maswali mengi majibu sipati
 
Ufisadi si kuiba mapesa tu hata kuiba mke wa mtu ni ufisadi mkubwa sana.
Na hapovhajawa Amiri Jeshi Mkuu!!!?
 
Kabisa ndugu yangu tangu Josephine aanze kutambulishwa hadharani huyu mama alikuwa hazungumzi lolote, tena kipindi cha kampeni nae alikuwa akipanda jukwaani kumnadi Dr. Slaa na Josephine akiwa pembeni, leo hii anaibuka na kusema ametelekezwa!!??

Haiingii akilini.
 
FJM, Kwani Padre Slaa anaruhusiwa kufunga ndoa chachi?

Dr. Slaa is already laicized.


Laicization is the act of reducing an ecclesiastical person or thing to a lay status. In the laicization of clerics, the Catholic Church authority, for extraordinary reasons and the greater good of the Church, may laicize a bishop, priest, or deacon. He is legitimately dispensed from the ordinary duties attached to his office and, generally also, of his vow of celibacy, giving him the right to marry

.​
 
Ufisadi si kuiba mapesa tu hata kuiba mke wa mtu ni ufisadi mkubwa sana.
Na hapovhajawa Amiri Jeshi Mkuu!!!?

Tena maana halisi ya fisadi ni mwizi wa mke au mume wa mtu Kwa hili wote ni mafisadi bwana na bibi harusi. Akiwa amiri jeshi mkuu ataendeleza sera yao ile ya kupeana ubunge wa viti maalum.
 
Sasa mbona hawajaoana mpaka leo? Kwa hiyo Jana katudanganya kua ndoa imezuiliwa?

Ufafanuzi unahitajika hapa
 
shark umetukumbusha jambo muhimu sana,sasa tusubiri mapovu ya magamba
 
Sasa mbona hawajaoana mpaka leo? Kwa hiyo Jana katudanganya kua ndoa imezuiliwa?

Ufafanuzi unahitajika hapa

Hahaaa babu anamsamaha wa kodi kma wanavyopewa watumishi w serikali....babu kakopa mke mpka mahari jana alikua anaropoka tu kma kameza betri ya N100
 
Hahaaa babu anamsamaha wa kodi kma wanavyopewa watumishi w serikali....babu kakopa mke mpka mahari jana alikua anaropoka tu kma kameza betri ya N100

Eti ndoa yake imefungwa na Mungu. Ilifungwa wapi na lini, nani alihudhuria hiyo ndoa, piaa picha za Mungu akifungisha hiyo ndoa hakuna. Halafu anataka tumuamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…