Hata kwa Rose hakuna pingamizi. Njia nyeupe tu. Dr Slaa anajua sheria siyo kwamba anaenda kichwakichwa.Bado hatujui hatma ya pingamizi lililowekwa na Rose!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kwa Rose hakuna pingamizi. Njia nyeupe tu. Dr Slaa anajua sheria siyo kwamba anaenda kichwakichwa.Bado hatujui hatma ya pingamizi lililowekwa na Rose!
Yes alisharuhusiwa siku nyingi kwa kibali maalum aweze kuishi maisha ya kiutaua na ndiyo maana hujasikia kabisa malalamiko toka TEC (Baraza la Maaskofu Tanzania). Ni tofauti na Fr. Nkwera ambaye yeye alifukuzwa kwa utovu wa nidhamu (hivi bado yuko hai? Sijamsikia tena).
Haaaaaa haipunguzi maumivu bt itaonyesha ulijali wake...Na yy Mahimbo akamchukue Rose Kamili, Rose bado analipa sana, akomae kiuanaume, then ngoma droo
Ile ya kwiba mke wa mtu nayo hakuna pingamizi??????????
Kumbe Dk naye alikuwa kiwembeee duh!!!!
Watanzania tuache udini,kabisaa hasa sisi waislam ni wadini sana,tuaache upumbavu huo kwasababu hata aliyeleta dini hatumjui.
Ww km ni muislam kweli kwa maneno yako hayo tayari ushakuwa kafiri!usilimu upya
Ufisadi si kuiba mapesa tu hata kuiba mke wa mtu ni ufisadi mkubwa sana.Padri anaoa? Duh tena mke wa mtu? hivi mahakama inaweza kutengua ndoa iliyofungwa kanisani huku m/mungu akituma malaika waje kushuhudia? Bw harusi nasikia anautaka urais duh huyu si kalikana kanisa la mungu Je hawezi kweli kulikana taifa la watanzania? Maswali mengi majibu sipati
Kabisa ndugu yangu tangu Josephine aanze kutambulishwa hadharani huyu mama alikuwa hazungumzi lolote, tena kipindi cha kampeni nae alikuwa akipanda jukwaani kumnadi Dr. Slaa na Josephine akiwa pembeni, leo hii anaibuka na kusema ametelekezwa!!??
FJM, Kwani Padre Slaa anaruhusiwa kufunga ndoa chachi?
Ufisadi si kuiba mapesa tu hata kuiba mke wa mtu ni ufisadi mkubwa sana.
Na hapovhajawa Amiri Jeshi Mkuu!!!?
Sasa mbona hawajaoana mpaka leo? Kwa hiyo Jana katudanganya kua ndoa imezuiliwa?
Ufafanuzi unahitajika hapa
Hahaaa babu anamsamaha wa kodi kma wanavyopewa watumishi w serikali....babu kakopa mke mpka mahari jana alikua anaropoka tu kma kameza betri ya N100