Ndoa ya Flaviana Matata

Kwahiyo kuwa mweupe ndo uzuri? Basi Vlaviana asingepata hiyo kazi ya umodel.
 
Naskia ndoa chaliiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoa ni commitment na sio maigizo, zaid ya hapo lazima kifo cha mende..kuna kazi ambazo kumaintain ndoa ni shida.... e.g model, music...sababu interaction na watu wa aina tofaut wenye mvuto ni kubwa sana, ukiongeza na ujana. kumchoka mwenzako ni kugusa tuu
 
Dah! Anyway ataolewa tena awe na subira tu.
 
Siku nyingi Sana, hakuna ndoa inajengwa juu ya machozi ya mwanamke mwenzio
 
Mwenye picha ya Flaviana enzi wana hagiana na mzee Trump kabla hajawa rais wa Marekeni, naiomba nina shida nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…