Ndoa ya Habari, PPF kuvunjika

Ndoa ya Habari, PPF kuvunjika

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
WanaJF. Ndugu yangu anaomba msaada wa kisheria ili newHabari na PPF wamlipe mafao yake. Pliz tusaidieni how 2 go about ili zilipwe haraka
 
WanaJF. Ndugu yangu anaomba msaada wa kisheria ili newHabari na PPF wamlipe mafao yake. Pliz tusaidieni how 2 go about ili zilipwe haraka
Maelezo yako yako too sketchy na hayaeleweki, toa maelezo fasaha juu ya tatizo lako usaidiwe
 
Anadai kampuni ya newhabari haijawasilisha makato ya michango yake ppf kwa miaka 2 sasa
 
Aka ripoti ppf ili wawafungulie mashtaka hao New habari ambapo wataaliwa kulipa hiyo michango waliyokata
 
Back
Top Bottom