pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Yap anahalalisha huduma Kabisa Nainawezekanaa ana mke tayar huyo slaaMwarabu atakuwa anahitaji huduma ile ya mtandao pendwa.
Angekuwa serious anahitaji mke angeoa mwarabu mwenzake ukoo wowote anachukuwa binti, qualification muhimu kwa waarabu ni pesa na yeye anazo.
Hamna ndoa hapo anahalalisha huduma tu.
Waarabu wanatudharau sana watu weusi hakunaga ndoa ya mswahili na Mwarabu ni nguvu ya pesa tu.Ilikuwa Lazima Abadili si kwa Pesa zile dini Ila sidhan kama atadumu maisha ya waarabu ni shida sana sijui huyu mchaga Kama atayaweza
Nyie mmejuaje anahalalisha ile huduma ya Mtandao pendwa??Yap anahalalisha huduma Kabisa Nainawezekanaa ana mke tayar huyo slaa
Mwarabu atakuwa anahitaji huduma ile ya mtandao pendwa.
Angekuwa serious anahitaji mke angeoa mwarabu mwenzake ukoo wowote anachukuwa binti, qualification muhimu kwa waarabu ni pesa na yeye anazo.
Hamna ndoa hapo anahalalisha huduma tu.
Hakunaga ndoa ya mwarabu na mswahili, wewe chunguza kwa makini, hao waarabu wenyewe kuna koo wanabaguana huwezi kuoa labda uwe tajili kama huyu.Nyie mmejuaje anahalalisha ile huduma ya Mtandao pendwa??
sasa mbona umehusianisha na mtandao pendwa? kuna nini hapo...Hakunaga ndoa ya mwarabu na mswahili, wewe chunguza kwa makini, hao waarabu wenyewe kuna koo wanabaguana huwezi kuoa labda uwe tajili kama huyu.
Ukishaona ndoa yenyewe inafanywa siri basi ujuwe jamaa anataka tu kuhalalisha kidini lakini hiyo ni nyumba ndogo tu, hana urithi wowote wa mali.
kwani mileage, katembea km ngap huyo dada?Duh anaeoa hii manzi atakua na ujasiri maana imetembea maili nyingi mno nadhani ishakua skrepa.
Nadhani kama 300k hivi ! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kwani mileage, katembea km ngap huyo dada?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani nikiona watoto wazuri huku mjini hawana wakuwaoa roho inauma sana.kuna wanawake wazuri sana jamani yaani kila ataemuona machoni atakubali lakini ajabu bado watu wanafata makoho kama hili yaani speed mita inasoma kama ya chombo kilichoenda mwezini na kurudi
ilikuwa bado kidogo tu nikutag jirani kumbe kitambo tu ushawahi sitiChezea danube