Ndoa ya Irene Uwoya, Marufuku kuingia na simu Ukumbini

Ile tatoo ya salaha ndiyo yashakua kajibebea jiko hongera kwa kuolewa mara ya pili tuasubiri ya tatu.
 
Mwarabu atakuwa anahitaji huduma ile ya mtandao pendwa.

Angekuwa serious anahitaji mke angeoa mwarabu mwenzake ukoo wowote anachukuwa binti, qualification muhimu kwa waarabu ni pesa na yeye anazo.

Hamna ndoa hapo anahalalisha huduma tu.
Yap anahalalisha huduma Kabisa Nainawezekanaa ana mke tayar huyo slaa
 
Nyie mmejuaje anahalalisha ile huduma ya Mtandao pendwa??
Mwarabu atakuwa anahitaji huduma ile ya mtandao pendwa.

Angekuwa serious anahitaji mke angeoa mwarabu mwenzake ukoo wowote anachukuwa binti, qualification muhimu kwa waarabu ni pesa na yeye anazo.

Hamna ndoa hapo anahalalisha huduma tu.
 
Nyie mmejuaje anahalalisha ile huduma ya Mtandao pendwa??
Hakunaga ndoa ya mwarabu na mswahili, wewe chunguza kwa makini, hao waarabu wenyewe kuna koo wanabaguana huwezi kuoa labda uwe tajili kama huyu.

Ukishaona ndoa yenyewe inafanywa siri basi ujuwe jamaa anataka tu kuhalalisha kidini lakini hiyo ni nyumba ndogo tu, hana urithi wowote wa mali.
 
sasa mbona umehusianisha na mtandao pendwa? kuna nini hapo...
 
Yaani nikiona watoto wazuri huku mjini hawana wakuwaoa roho inauma sana.kuna wanawake wazuri sana jamani yaani kila ataemuona machoni atakubali lakini ajabu bado watu wanafata makoho kama hili yaani speed mita inasoma kama ya chombo kilichoenda mwezini na kurudi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom