Ndoa ya Irene Uwoya, Marufuku kuingia na simu Ukumbini

Mwarabu atakuwa anahitaji huduma ile ya mtandao pendwa.

Angekuwa serious anahitaji mke angeoa mwarabu mwenzake ukoo wowote anachukuwa binti, qualification muhimu kwa waarabu ni pesa na yeye anazo.

Hamna ndoa hapo anahalalisha huduma tu.

Kaolewa na dogojanja hadi zamaradi kawapa pongezi
 
Mkuu kutokua na urithi wa mali kwa nyumba ndogo ni kwa mujibu wa dini gani?
 
Ukitaka kujua kaolewa na nani ingieni kwenye insta ya Da mange au ya zamaradi.
 
ina maana simu za waalikwa zote zilikusanywa kwenye kikapu!!!!.tabu yote ya nini si angefunga ndoa ya mkeka tu, wangehudhuria wazazi na sheikhe tu harusi kwisha
 
Miaka 22 vs miaka 29,kifaranga kumpanda mama yake ndo nini?!![emoji53][emoji53][emoji53]
 

Attachments

  • IMG_20171028_225532_130.JPG
    74.9 KB · Views: 82
Ni kweli Kabisa jamaa kaamua kuhalalisha kidini asizini Ila akishamchoka anambwaga
 
ina maana simu za waalikwa zote zilikusanywa kwenye kikapu!!!!.tabu yote ya nini si angefunga ndoa ya mkeka tu, wangehudhuria wazazi na sheikhe tu harusi kwisha
Ukipiga picha baunsa yuko nyuma anakwambia futa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…