Ndoa ya Irene Uwoya, Marufuku kuingia na simu Ukumbini

Ndoa ya Irene Uwoya, Marufuku kuingia na simu Ukumbini

ab3aace7e0a2774c83354391dc6a2937.jpg

Kaolewa na dogo janja huoni hadi zamaradi anawapongeza
 
Mwarabu atakuwa anahitaji huduma ile ya mtandao pendwa.

Angekuwa serious anahitaji mke angeoa mwarabu mwenzake ukoo wowote anachukuwa binti, qualification muhimu kwa waarabu ni pesa na yeye anazo.

Hamna ndoa hapo anahalalisha huduma tu.

Kaolewa na dogojanja hadi zamaradi kawapa pongezi
 
Hakunaga ndoa ya mwarabu na mswahili, wewe chunguza kwa makini, hao waarabu wenyewe kuna koo wanabaguana huwezi kuoa labda uwe tajili kama huyu.

Ukishaona ndoa yenyewe inafanywa siri basi ujuwe jamaa anataka tu kuhalalisha kidini lakini hiyo ni nyumba ndogo tu, hana urithi wowote wa mali.
Mkuu kutokua na urithi wa mali kwa nyumba ndogo ni kwa mujibu wa dini gani?
 
Baada ya Irene Uwoya kufunga ndoa Jana japo bado mume aliyefunga Naye hajamuweka wazi rasmi japo kuna uvumi ni Dogo Janja. Kutokana na watu waliohudhuria sherehe Hiyo.

Jambo la kushangaza lililowaudhi waudhuriaji ni ile Hali ya kuzuia watu wasiingie na simu ukumbini na kukataza watu kupiga picha ukumbini na kulikuwa na mabaunsa Ambao walisimamia zoezi hili ipasavyo.

View attachment 619262 View attachment 619264
Ukitaka kujua kaolewa na nani ingieni kwenye insta ya Da mange au ya zamaradi.
 
Miaka 22 vs miaka 29,kifaranga kumpanda mama yake ndo nini?!![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Attachments

  • IMG_20171028_225532_130.JPG
    IMG_20171028_225532_130.JPG
    74.9 KB · Views: 82
Hakunaga ndoa ya mwarabu na mswahili, wewe chunguza kwa makini, hao waarabu wenyewe kuna koo wanabaguana huwezi kuoa labda uwe tajili kama huyu.

Ukishaona ndoa yenyewe inafanywa siri basi ujuwe jamaa anataka tu kuhalalisha kidini lakini hiyo ni nyumba ndogo tu, hana urithi wowote wa mali.
Ni kweli Kabisa jamaa kaamua kuhalalisha kidini asizini Ila akishamchoka anambwaga
 
ina maana simu za waalikwa zote zilikusanywa kwenye kikapu!!!!.tabu yote ya nini si angefunga ndoa ya mkeka tu, wangehudhuria wazazi na sheikhe tu harusi kwisha
Ukipiga picha baunsa yuko nyuma anakwambia futa
 
Back
Top Bottom