fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,758
- 2,713
wageni waalikwa wala hawakuwa na raha masikini.Ukipiga picha baunsa yuko nyuma anakwambia futa
Ukumbi upi hpo au sebuleni kwa uwoyaBaada ya Irene Uwoya kufunga ndoa Jana japo bado mume aliyefunga Naye hajamuweka wazi rasmi japo kuna uvumi ni Dogo Janja. Kutokana na watu waliohudhuria sherehe Hiyo.
Jambo la kushangaza lililowaudhi waudhuriaji ni ile Hali ya kuzuia watu wasiingie na simu ukumbini na kukataza watu kupiga picha ukumbini na kulikuwa na mabaunsa Ambao walisimamia zoezi hili ipasavyo.
View attachment 619262 View attachment 619264
Miaka 29 anaweza kuwa na mtoto wa 22 ??Miaka 22 vs miaka 29,kifaranga kumpanda mama yake ndo nini?!![emoji53][emoji53][emoji53]
Mjini kuna mambo mengi sana[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hii ndoa ikitimiza Mwaka natembea uchi Jamiiforums nzima!
HaaahaaaaaKamuolea Salaah dogo janja chambo tu
Hivi kwa nini watu wanamshambulia sana Irene hivi nyie wanaume wa hum mna akili kweli? Hao mademu zenu mbona na ninyi mnawala ila akiliwa Irene ndo anaonekana wa ajabu[emoji57] [emoji57] [emoji57] acheni ushamba
Uanzie mtaa wa Chit chat chief...Hii ndoa ikitimiza Mwaka natembea uchi Jamiiforums nzima!
Chezea danube
Kifo cha namna hii ni cha kujitakia aisee.mdude limeungua lina mafaili 3 mwananyamala ya kumeza mbaazi...watu wamelifukua viazi mpaka wamekinai wewe unaoa ..kweli?Kuogopa kifo haina maana yeyote maana lazima ufe tu.
Khaa..aise siyo kwa maneno haya,kama sio doctor wake na huna ushahid msamehe mke wawatuKifo cha namna hii ni cha kujitakia aisee.mdude limeungua lina mafaili 3 mwananyamala ya kumeza mbaazi...watu wamelifukua viazi mpaka wamekinai wewe unaoa ..kweli?
Kwa hiyo wewe ukiwa na miaka 29 utakubali kavulana ka miaka 22 kakupande?[emoji53][emoji53][emoji53]Miaka 29 anaweza kuwa na mtoto wa 22 ??