Ndoa ya Irene Uwoya, Marufuku kuingia na simu Ukumbini

Ndoa ya Irene Uwoya, Marufuku kuingia na simu Ukumbini

Yaani bado siamini 😀
IMG_20171028_230728_000.jpg
 
Hivi kwa nini watu wanamshambulia sana Irene hivi nyie wanaume wa hum mna akili kweli? Hao mademu zenu mbona na ninyi mnawala ila akiliwa Irene ndo anaonekana wa ajabu[emoji57] [emoji57] [emoji57] acheni ushamba
 
Baada ya Irene Uwoya kufunga ndoa Jana japo bado mume aliyefunga Naye hajamuweka wazi rasmi japo kuna uvumi ni Dogo Janja. Kutokana na watu waliohudhuria sherehe Hiyo.

Jambo la kushangaza lililowaudhi waudhuriaji ni ile Hali ya kuzuia watu wasiingie na simu ukumbini na kukataza watu kupiga picha ukumbini na kulikuwa na mabaunsa Ambao walisimamia zoezi hili ipasavyo.





View attachment 619262 View attachment 619264
Ukumbi upi hpo au sebuleni kwa uwoya
 
Kuogopa kifo haina maana yeyote maana lazima ufe tu.
Kifo cha namna hii ni cha kujitakia aisee.mdude limeungua lina mafaili 3 mwananyamala ya kumeza mbaazi...watu wamelifukua viazi mpaka wamekinai wewe unaoa ..kweli?
 
Back
Top Bottom