BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,913
Mohammed salaah si ana mke na watoto wawili, au mi ndo sielewiKamuolea Salaah dogo janja chambo tu
Ujue nasi tunataka kumla but tumekosa fursa[emoji2] [emoji1] [emoji1] wivu unatutesaHivi kwa nini watu wanamshambulia sana Irene hivi nyie wanaume wa hum mna akili kweli? Hao mademu zenu mbona na ninyi mnawala ila akiliwa Irene ndo anaonekana wa ajabu[emoji57] [emoji57] [emoji57] acheni ushamba
Huyo babaako alikuwa Lofa ndiyo maana akaoa mnyamwezi! Hata simba anakulaga nyasi japo si kawaidaAcha kashfa ww! Mie babangu mwarabu mama yangu mnyamwezi wameoana hadi baba kafariki wako kwenye ndoa.
Neema ya kusambaza Ukimwi?Haya ni yako..ukiona kimezeeka wengine wanaona kipya!! Mbona binadamu mwenzenu kupata neema inawauma sana wakuu!!! Siku hizi wanasema mnawashwawashwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu Salah,bibi yake mzaa mama ni,mzigua wa Pangani,baadaye huyu bibi aliolewa na mzigua mwenzake,akapata watoto wa kizugua,hao kina Salah,wanao wajomba na mama wadogo wa kizugua,na ndugu zao wa kizugua.Acha kashfa ww! Mie babangu mwarabu mama yangu mnyamwezi wameoana hadi baba kafariki wako kwenye ndoa.
Waarabu wapo Uarabuni,hueez kuta mwarabu Tanzania,hao machotara tuAcha kashfa ww! Mie babangu mwarabu mama yangu mnyamwezi wameoana hadi baba kafariki wako kwenye ndoa.
Una uhakika gani na uyasemayo??!! Hata kama ni kweli yuko vile lakini umbea wenu umezidiNeema ya kusambaza Ukimwi?
Atakuwa mwarabu koko huyo, Uarabuni kama huna pesa utaowa mwarabu yupi? Labda wale wa Oman wanaoongea kiswahili.Acha kashfa ww! Mie babangu mwarabu mama yangu mnyamwezi wameoana hadi baba kafariki wako kwenye ndoa.
Haha punguzeni wivu sasa dogo kashawapiga gepuUjue nasi tunataka kumla but tumekosa fursa[emoji2] [emoji1] [emoji1] wivu unatutesa
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
Mie Ndio maana nakuvutia gape khantweHaha punguzeni wivu sasa dogo kashawapiga gepu
Ndio nani huyo?
Mate vipi?mbona unafoka povu?Hivi kwa nini watu wanamshambulia sana Irene hivi nyie wanaume wa hum mna akili kweli? Hao mademu zenu mbona na ninyi mnawala ila akiliwa Irene ndo anaonekana wa ajabu[emoji57] [emoji57] [emoji57] acheni ushamba
Naomba nikuulize, hiyo avatar ni wewe kama ni wewe, basi unachokiongea unakifahamuIlikuwa Lazima Abadili si kwa Pesa zile dini Ila sidhan kama atadumu maisha ya waarabu ni shida sana sijui huyu mchaga Kama atayaweza
Danube ndio niniDanube
Inategemea kama alikuwa mwarabu koko!Acha kashfa ww! Mie babangu mwarabu mama yangu mnyamwezi wameoana hadi baba kafariki wako kwenye ndoa.