Ndoa ya Irene Uwoya, Marufuku kuingia na simu Ukumbini

Ndoa ya Irene Uwoya, Marufuku kuingia na simu Ukumbini

Hivi kwa nini watu wanamshambulia sana Irene hivi nyie wanaume wa hum mna akili kweli? Hao mademu zenu mbona na ninyi mnawala ila akiliwa Irene ndo anaonekana wa ajabu[emoji57] [emoji57] [emoji57] acheni ushamba
Ujue nasi tunataka kumla but tumekosa fursa[emoji2] [emoji1] [emoji1] wivu unatutesa

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
Acha kashfa ww! Mie babangu mwarabu mama yangu mnyamwezi wameoana hadi baba kafariki wako kwenye ndoa.
Huyu Salah,bibi yake mzaa mama ni,mzigua wa Pangani,baadaye huyu bibi aliolewa na mzigua mwenzake,akapata watoto wa kizugua,hao kina Salah,wanao wajomba na mama wadogo wa kizugua,na ndugu zao wa kizugua.
 
[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
 
Attachments

  • Kwani+kuna+ubaya+gani+irene+wangu+kuwa+na+watoto+wawili__monkey_.jpg
    Kwani+kuna+ubaya+gani+irene+wangu+kuwa+na+watoto+wawili__monkey_.jpg
    83.6 KB · Views: 34
Hivi kwa nini watu wanamshambulia sana Irene hivi nyie wanaume wa hum mna akili kweli? Hao mademu zenu mbona na ninyi mnawala ila akiliwa Irene ndo anaonekana wa ajabu[emoji57] [emoji57] [emoji57] acheni ushamba
Mate vipi?mbona unafoka povu?
 
Back
Top Bottom