Ndoa ya Irene Uwoya, Marufuku kuingia na simu Ukumbini

Ndoa ya Irene Uwoya, Marufuku kuingia na simu Ukumbini

Kifo cha namna hii ni cha kujitakia aisee.mdude limeungua lina mafaili 3 mwananyamala ya kumeza mbaazi...watu wamelifukua viazi mpaka wamekinai wewe unaoa ..kweli?
Haramu yako halali ya wenzio acha aolewe haina madhara kwako.
 
Kafukua viazi sanaaaa mpaka akampa hiace afanyie kampeni wakati wa viti maalumu
Muzee ya mujini yule mabaharia hawazeeki ni kama le Mutuz au Marehemu Abby Sykes (Baba Dully)
 
Ilikuwa Lazima Abadili si kwa Pesa zile dini Ila sidhan kama atadumu maisha ya waarabu ni shida sana sijui huyu mchaga Kama atayaweza
hivi kwanini waarabu wakiwataka mademu wa kikristo huwang'oa kwa gharama kubwa kishenzi kuliko mademu wa din zao jaribu kuchunguza ujionee
 
Nyie mmejuaje anahalalisha ile huduma ya Mtandao pendwa??
waarabu ndio zao hizo kama hujui tigo ni kanuni kwao utasikia mpake wese huyo atalainika waulize mademu wanaotoka nao au hata wakiarabu wenyewe
 
Irene hajaolewa na dogo janja, atakua kaolewa na mchizi mwingine so hatak watu wamjue mchizi , Dogo janja hapo anasafiria nyota tu
kachukuliwa na mwarabu mpenda tigo huyo dogo ni chambo tu
 
Duh anaeoa hii manzi atakua na ujasiri maana imetembea maili nyingi mno nadhani ishakua skrepa.
Maneno makali mno hayo. Safari yote hiyo ni kwasababu ubavu wake ulikuwa haujapatikana. Amepata alichokuwa anakitafuta, tumtie nguvu kwa kumpongeza.
 
Mwarabu atakuwa anahitaji huduma ile ya mtandao pendwa.

Angekuwa serious anahitaji mke angeoa mwarabu mwenzake ukoo wowote anachukuwa binti, qualification muhimu kwa waarabu ni pesa na yeye anazo.

Hamna ndoa hapo anahalalisha huduma tu.
Mkuu Uwoya ni mbobezi ktk huo mtandao pendwa si mchezo...
 
Back
Top Bottom