choupa moting
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,508
- 2,563
Madem wa bongo movie ni wapuuzi wa kufa mtu. Wengi wao ni malaya ambao wanakuja kwa njia tofaut. Juz kuna mshkaji wangu katokea SA kufika tu kaniambia lazma ampate wolper ilimchukua takriban siku mbili kuonana nae na kapiga mzigo. Yaan dinner siku moja tu pale sea cliff hotel the next day kala mzigo. Na huyu dem sasa hv kafulia vbaya. Sikuamini nlipokuta anaish mkwajuni. Balaa sana.