Ndoa ya Irene Uwoya, Marufuku kuingia na simu Ukumbini

Ndoa ya Irene Uwoya, Marufuku kuingia na simu Ukumbini

Mwarabu atakuwa anahitaji huduma ile ya mtandao pendwa.

Angekuwa serious anahitaji mke angeoa mwarabu mwenzake ukoo wowote anachukuwa binti, qualification muhimu kwa waarabu ni pesa na yeye anazo.

Hamna ndoa hapo anahalalisha huduma tu.
Nasikia huyo jamaa wa GSM ni mende wa hatari?,duh dada zetu hawa nawaonea huruma sana aiseee
 
Inasemakana lkn kwa hako kamchezo ni fundi haswaa.
Muulize baharia Nditi mwenye katalunya..alifukua viazi akahonga mpaka gari la kufanyia kampeni 2015 wakati hili gubeli linataka vitu maalumu huko Tabora kupitiaa chichiemuuuu..
 
Hivi kwa nini watu wanamshambulia sana Irene hivi nyie wanaume wa hum mna akili kweli? Hao mademu zenu mbona na ninyi mnawala ila akiliwa Irene ndo anaonekana wa ajabu[emoji57] [emoji57] [emoji57] acheni ushamba
Ndio ww nin bidada?
 
Nkiwa dar huwa naenda kwenye pub ya uwoya akija huyo dogo yani fujo na sifa za kijinga,acha atusaidie kupunguziwa mizinga
Mm nipo mkoani hebu niambie pub ya huyu bidada ipo maeneo gan siku nikitia team dar nikamsabahi
 
Yaani nikiona watoto wazuri huku mjini hawana wakuwaoa roho inauma sana.kuna wanawake wazuri sana jamani yaani kila ataemuona machoni atakubali lakini ajabu bado watu wanafata makoho kama hili yaani speed mita inasoma kama ya chombo kilichoenda mwezini na kurudi
We mjamaa hapo umezid duuu..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mwarabu atakuwa anahitaji huduma ile ya mtandao pendwa.

Angekuwa serious anahitaji mke angeoa mwarabu mwenzake ukoo wowote anachukuwa binti, qualification muhimu kwa waarabu ni pesa na yeye anazo.

Hamna ndoa hapo anahalalisha huduma tu.
Boss kwa hiyo airini anatoa zirosseveniwanisiksi kama kawa.
 
Yaani kuna,watu wana hatari sana..demu limeungua hili kitambo limekaa mwananyamala kwenye councelling 4 months ..wakina nditi wa katalunya wamefumua marinda na kulipaka upupu mpka basi leo mtu anaoa..vijana wa siku hizi kufa hawaogopi kabisa
Mkuu una uhakika.unachokizungumza.
 
Back
Top Bottom