Ndoa ya Irene Uwoya na Ndikumana yavunjika!!

Khaaaa my swty!
Kweli darling wangu naona ulikosea kidogo,
Hata mie nimeona ulikosea kidogo tu,
Wala sina hofu na hao wavimba macho huko,
Naridhika kuwa 1st lady wako,wao ndio wafuatie lol!
umeona eeh! bas mimi nitakuwa chizi nikatamani uwoya mbele yako? hizi keyboard za kiarabu zinaanzia kushoto basi zinakonfyuzi kweli aisee

Kamanda nakushauri ubaki na Cantalicia huyu Yuyoya humuwezi ni mchezaji wa 'premier' na simu aitumiayo ni Zantel( habari za striti ) sijui umenielewa ?
hehehe Nimekuelewa kamanda halaf naskia yuko fulu chaji hata tanesco wakizima umeme lol

Hahaha! hujakosea kujiita Cantalicia lol!
Nilimchagulia mimi jina. asifiwe kloro. ameeen

Asante my shem wangu kwa kunipaisha kwa my darling,
Raha moja mie sina wivu,atahangaika akichoka akirudi hm atanikuta nimejaa tele kwa raha zote lol!

Asante shem,
Umejuaje,tuna mitazamo sawa ndio maana nikajipa jina lake,
Km riziki ni yangu basi hakuna wa kuichukua wataichelewesha mwisho wa siku kloro wangu (salvado)atarudi kwangu lol!
Bora umewaambia kwa kiswahili, kiingereza hawaelewi hawa.
 
Habari ndio hiyo Darling,
Mie kwako nimekufa nimeoza,
Wenye wivu wajinyonge,
 
Haya baba maana nimeona hapo juu mtoto anasema kaoza wenye wivu wajinyonge basi tena mambo ni nehi b'olo
Mzee wa Rula kwetu hakuna kesi,
Tunapendana hakuna mfano,mzungu wa nne ni marufuku,
Mie niko ndan pole zao wanaomvizia uchochoron,
Hata nikimfumaia hainiumi nafurahia kwani naamin nilichagua kidume kinawasumbua na wengine lol!,
 
hizo ni ndoa au komedi?ikivunjika ya Mtambuzi ndio naweza kushangaa
 
wewe mzee wa rula kw ajinsi unavyo jibu unaonekana kama kuwa na kisa binafsi na irene ..muache dada wa watu hata kama ndoa imeisha kwani unajua ki ukweli kwa nn kaachana ne ..sht it up
 
Habari ndio hiyo Darling,
Mie kwako nimekufa nimeoza,
Wenye wivu wajinyonge,

Mzee wa Rula kwetu hakuna kesi,
Tunapendana hakuna mfano,mzungu wa nne ni marufuku,
Mie niko ndan pole zao wanaomvizia uchochoron,
Hata nikimfumaia hainiumi nafurahia kwani naamin nilichagua kidume kinawasumbua na wengine lol!,

Dah! kwa hali hii hata NATO hawawezi kuvunja ndoa yetu
 
Kwa hicho ni kibali cha mkulu kufanya kazi za nje nini? Lakini hata hivyo itabidi nikuPM nifunge darasa maana naona upendo wako umevuka mipaka tehe tehe tehe tehe tehe. Kupenda bana.
 
Dah! kwa hali hii hata NATO hawawezi kuvunja ndoa yetu
Nimeamua kufungua darasa kwa PM baada ya kuonekana kushindwa jukwaani, jiandae kama Gadaffi alivyong'oka ni kuanzia miezi sita na kuendelea mpaka kieleweke tehe tehe tehe tehe tehe.
 
wewe mzee wa rula kw ajinsi unavyo jibu unaonekana kama kuwa na kisa binafsi na irene ..muache dada wa watu hata kama ndoa imeisha kwani unajua ki ukweli kwa nn kaachana ne ..sht it up

Wala sina kisa naye chochote ila nimeshangazwa sana na sababu alizotoa kuwa hakumpenda Katauti!!!!! Ni jambo lisilo ingia akilini kuwa hakumpenda, ina maana miezi yote 18 alikuwa anabakwa hadi akazaaa? Yule mwanamke si mfano wa kuigwa na hata kama ulifuatilia maoni ya wasomaji Globalpublishers wengi wamemponda kuwa anadhani atabaki milele binti. Ujana ni maji ya moto, yakipoa ujue ndiyo basi tena.
Yaani binafsi nalaani sana upuuzi alioufanya.
 
tabia ya huyu irene inanipa utata-naona kama anaigiza hata yale mambo yasiyo takiwa kuigizwa
 
Hii habari imenishtua sana. People here are making funny of the situation wakati swala kama hili ni janga katika ukoo.

Pole sana familia ya Irene na Banyamulenge Ndikumana Katauti.

I hope mtarekebisha tofauti zenu na kurejea kwenye ndoa.
 
Nimeamua kufungua darasa kwa PM baada ya kuonekana kushindwa jukwaani, jiandae kama Gadaffi alivyong'oka ni kuanzia miezi sita na kuendelea mpaka kieleweke tehe tehe tehe tehe tehe.

teh teh teh Mkuu usjaribu, nina paswedi ya switihat canta, kila siku kabla brekfast napitia PM zake kwanza.
 
hawa mastaa sio wa kuoa,ni wa kupiga deiwaka tu na kuwaingiza kwenye orodha,tena sio siku nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…