klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
umeona eeh! bas mimi nitakuwa chizi nikatamani uwoya mbele yako? hizi keyboard za kiarabu zinaanzia kushoto basi zinakonfyuzi kweli aiseeKhaaaa my swty!
Kweli darling wangu naona ulikosea kidogo,
Hata mie nimeona ulikosea kidogo tu,
Wala sina hofu na hao wavimba macho huko,
Naridhika kuwa 1st lady wako,wao ndio wafuatie lol!
hehehe Nimekuelewa kamanda halaf naskia yuko fulu chaji hata tanesco wakizima umeme lolKamanda nakushauri ubaki na Cantalicia huyu Yuyoya humuwezi ni mchezaji wa 'premier' na simu aitumiayo ni Zantel( habari za striti ) sijui umenielewa ?
Nilimchagulia mimi jina. asifiwe kloro. ameeenHahaha! hujakosea kujiita Cantalicia lol!
Asante my shem wangu kwa kunipaisha kwa my darling,
Raha moja mie sina wivu,atahangaika akichoka akirudi hm atanikuta nimejaa tele kwa raha zote lol!
Bora umewaambia kwa kiswahili, kiingereza hawaelewi hawa.Asante shem,
Umejuaje,tuna mitazamo sawa ndio maana nikajipa jina lake,
Km riziki ni yangu basi hakuna wa kuichukua wataichelewesha mwisho wa siku kloro wangu (salvado)atarudi kwangu lol!