Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

Mtonyo sio sababu ya kuvunjika ndoa yao, Rich bado ana mambo mengi ujana mwingi anaruka sana.

Hata ukimsoma vizuri hapo Wolper, utaona kabisa anaongelea hilo mara nyingi.
Umesema wolper alikosea kuolewa na Rich ndo maana na mimi nimekwambia huenda huyo wolper alifaata mtonyo kwa mwana siyo material ya uhasband wa rich
 
Umesema wolper alikosea kuolewa na Rich ndo maana na mimi nimekwambia huenda huyo wolper alifaata mtonyo kwa mwana siyo material ya uhasband wa rich
Hapana, Wolper alimpenda kweli Rich na alishamaliza mambo mengi alidhamiria kutulia na kujenga familia.

Kama ni mtonyo Wolper mwenyewe yuko vizuri sana, sio shida zake.
 
Ile mipesa waliyoitumia kwa ajili ya harusi si bora wangeinunulia ndama wakafuga. By now wangekuwa na ng'ombe kadhaa wa maziwa.

Nje ya mada, ule mjengo itakuwaje?? Au jamaa alikuwa anakaa kwa nguvu ya kiuno cha mkewe?
 
Back
Top Bottom