Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
Hii ndoa inakoelekea bila msaada wa Mungu hii inaelekea kwenye mgogoro mkubwa.
Kisa kiko hivi ,
Hii nyumba tuliopangisha tunaishi na Dereva wa Malori ambae ni Bachelor, huyu jamaa anaporudi kutoka safari ananunua gunia la mkaa na kuliweka ndani japo hapiki, basi ule mkaa utatumiwa na yule dada mke wa mpangaji mwenzangu mpaka utaisha, siku huyo dereva akiamua kushinda nyumbani basi atampa mke wa jamaa Elf 10 ili akipika chakula ajumuishwe.
Cha ajabu chakula anachotaka huyo jamaa ndio kinapikwa hata mume aseme kipikwe chakula gani hakipikwi, jamaa akitoka kwenye mizunguko yake jioni hubeba chipsi na zawadi nyingine na nyama na kumpa mke wa jamaa heti ni zawadi ya mtoto.
Jamaa huwa hashindi nyumbani akitoka asubuhi kurudi saa3 usiku na hajui kinachoendelea, Ninawaza siķu akigundua hii ndoa itaingia kwenye mgogoro mkubwa.