Ndoa ya jirani yangu inaelekea kwenye mgogoro mkubwa

Hii ndoa inakoelekea bila msaada wa Mungu hii inaelekea kwenye mgogoro mkubwa.

Kisa kiko hivi ,

Hii nyumba tuliopangisha tunaishi na Dereva wa Malori ambae ni Bachelor, huyu jamaa anaporudi kutoka safari ananunua gunia la mkaa na kuliweka ndani japo hapiki, basi ule mkaa utatumiwa na yule dada mke wa mpangaji mwenzangu mpaka utaisha, siku huyo dereva akiamua kushinda nyumbani basi atampa mke wa jamaa Elf 10 ili akipika chakula ajumuishwe.

Cha ajabu chakula anachotaka huyo jamaa ndio kinapikwa hata mume aseme kipikwe chakula gani hakipikwi, jamaa akitoka kwenye mizunguko yake jioni hubeba chipsi na zawadi nyingine na nyama na kumpa mke wa jamaa heti ni zawadi ya mtoto.

Jamaa huwa hashindi nyumbani akitoka asubuhi kurudi saa3 usiku na hajui kinachoendelea, Ninawaza siķu akigundua hii ndoa itaingia kwenye mgogoro mkubwa.
Si mtu na mme wake wameolewa na muendesha malori.
Mhh em tuache kufuatilia maisha ya watu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii imenikumbusha kuna msela wangu baada ya demu wake kuolewa na yeye akaenda kukodi chumba kwenye nyumba ileile anayoishi yule demu na mumewe.
 
Hii ndoa inakoelekea bila msaada wa Mungu hii inaelekea kwenye mgogoro mkubwa.

Kisa kiko hivi ,

Hii nyumba tuliopangisha tunaishi na Dereva wa Malori ambae ni Bachelor, huyu jamaa anaporudi kutoka safari ananunua gunia la mkaa na kuliweka ndani japo hapiki, basi ule mkaa utatumiwa na yule dada mke wa mpangaji mwenzangu mpaka utaisha, siku huyo dereva akiamua kushinda nyumbani basi atampa mke wa jamaa Elf 10 ili akipika chakula ajumuishwe.

Cha ajabu chakula anachotaka huyo jamaa ndio kinapikwa hata mume aseme kipikwe chakula gani hakipikwi, jamaa akitoka kwenye mizunguko yake jioni hubeba chipsi na zawadi nyingine na nyama na kumpa mke wa jamaa heti ni zawadi ya mtoto.

Jamaa huwa hashindi nyumbani akitoka asubuhi kurudi saa3 usiku na hajui kinachoendelea, Ninawaza siķu akigundua hii ndoa itaingia kwenye mgogoro mkubwa.
Idiot
 
Back
Top Bottom