Ndoa ya Joti: Mke wa Joti hana raha

Mbona alikuwa na raha, hapo ni kwenye mahubili ametulia anasikiliza
 
Anawaza mmewe atakapoenda kuvaa magauni na kupaka lipstick [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo ulitaka uone anacheka cheka kijinga humo kanisani?
 
Huyo ndio mke wa maisha, yuko realistic anafaham ndoa kuna milima na mabonde! Hao wanaochekelea mda wote wa arusi wengi ni waigizaji! Hawachelewi kubadiligia
 
Tuongee yaishie hapahapa dada anaonekana ana umri Wa kumtosha kabisa (yaani ni Mzee) ndoa haivunjiki Leo.....dada akaenda age na akili itakuwa imetulia...au macho yangu?
 
Tuongee yaishie hapahapa dada anaonekana ana umri Wa kumtosha kabisa (yaani ni Mzee) ndoa haivunjiki Leo.....dada akaenda age na akili itakuwa imetulia...au macho yangu?
Joti ni mkubwa, mimi namjuwa Joti kwa zaidi ya miaka 20 yupo kwenye uigizaji na habadiriki mwili.

Huyo dada inawezekana ni mwili wake tu kila mtu alivyojaliwa.

Zari ni mkongwe lakini kwa muonekano anaonekana baso msichana kabisa
Kakosa umri wake?
 
 
Mleta mada wizard kweli. Its like huwezi ukawa unakenua mimeno all time 24/7 wakat wa ibada. Bob Acha kuchuria mipango na maisha ya watu.

Joti baba kanyaga twendeez u kno. The two look great together. [emoji16][emoji16]
 
Umekaa kiudaku udaku tu,alikwambia hana raha macho yako yana kipimio cha raha na karaha? Mbona husemi Joti hana raha?
 
Huyo Joti naye hajielewi mnyoo gani sasa huo wa kihuni hasa kwa siku muhimu kama hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…