Ndoa ya Joti: Mke wa Joti hana raha

Dada wawatu mpole nyie mnasema hana furaha, tatizo mmezoea mademu machepere wasio na soni, kwa maoni yangu naona joti amepata mke halisi anayejitambua na sio waruka viunzi
 
wabongo mshaanza uchawi.....hebu weka picha za ndoa yako tuone kama wewe ulikuwa na furaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hahaaa...huyo jamaa atakuwa mchawi kasoro vitendea kazi tu hana
 
Mpendwa Mteja, Ofa ya Jaza Ujazwe inaisha Tar 29/10/2017. Usikae mbali na simu yako kitu KIKUBWA kinakuja.
 
Watz kweli mavi, kila kitu wao hupenda kukitafsiri vibaya. Asiwe na raha kwani aliwekewa mtutu wa bunduki wakati anapelekwa kanisani?! Au ameku over take ndio ukaona uje umwage povu huku wakati hakuna mwenye nguo za kufua!
 
mwenye namba ya huyo dada nyuma ya bi harusi please naomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…