Ndoa ya Lulu, Majizzo yatangazwa Rasmi leo...

Ndoa ya Lulu, Majizzo yatangazwa Rasmi leo...

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Hayawi hayawi sasa yamekua, ile ndoa iliyokua ikisubiriwa kwa hamu baina ya staa Elizabeth Michael, Lulu na Majizo imewadia, baada ya Ndoa yao kutangazwa rasmi leo katika kanisa la mtakatifu Andrea lililopo bahari beach .

Shoga kidawa anaolewa na millionaire , hamisa Sijui atakua na hali gani huko
IMG_7869.jpg
 
Milionea??? Mwambie amalize kwanza nyumba ya Mbweni Mpiji ndio aoe.

Nawashauri waendelee kupiga tizi,kula vizuri na kuzingatia ushauri wa daktari bila kusahau kunywa dawa kwa wakati.

Binamu ujue Siku hizi umbea nimeacha, ya kweli hayo? , Lakini yote maisha, cha muhimu wako happy na pesa wanayo, waache waoane[emoji16]
 
Okay,,bongo ukimiliki asset fulani watu wanahisi hela ipo ya kumwaga tu bila kuangalia operation cost..
Kabisa bongo acting nyingi,jamaa si milionea ana fedha ya kula tu,sijawahi kuona milionea kashindwa kujenga nyumba,majizo amejenga servant quarter mbweni,majirani zake wote wameporomosha maghorofa ila yeye bado nchecheme nchecheme.
 
Hyo nyumba ya bahari beach kwan wamepanga binam? Ila wanaish vzur mashallah , majizzo pesa ipo
 
... hivi kuoa demu kama huyo ambaye kila mtu ana uhakika "kaliwa" na wengi unajisikiaje sijui! Anyway, kila mtu ana interests zake.
Hii ishu kwa celebrities sijui haiumi..

Kanye Waste kamuoa Kim Kardashian huku akijua kuwa mkewe kaliwa na Ray Jay na sex video footage ipo mitandaoni,,Ray jay akienda uvinza mixer heavy penetrations..
 
Back
Top Bottom