King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Wamepanga huko Bahari beach,majizo ana hela ya kununua kiwanja bahari beach? Bahari beach viwanja ni eka nzima ,Nyumba ya majizo ni hii hapa chini,kama Lulu anabisha mwambie apige picha nyumba anayoenda mbweni.....Mimi ni fundi ujenzi,kwa bahari beach mwenye maeneo ni Baba yake maria sarungi,amenunua jumba la ghorofa 6 la najim,jirani na magembe.Hyo nyumba ya bahari beach kwan wamepanga binam? Ila wanaish vzur mashallah , majizzo pesa ipo