Ndoa ya Lulu, Majizzo yatangazwa Rasmi leo...

... hivi kuoa demu kama huyo ambaye kila mtu ana uhakika "kaliwa" na wengi unajisikiaje sijui! Anyway, kila mtu ana interests zake.
Yaan me nashindwaga hata kushangaa watu tulivo tofauti
 
Kwaiyo hiyo ndio nyumba ya millionaire? Huku wa nje na dirisha vinakaribiana,je millionaire atapata hewa? Lol


Ndio hapo sasa,ameibana hiyo servant "KOTA" kwa nyuma ameacha nafasi kubwa ,anajikusanya akipata fedha ndio ajenge ghorofa,lazima ajikusanye maana majirani zake wote wamepanda hewani.
 
Okay,,bongo ukimiliki asset fulani watu wanahisi hela ipo ya kumwaga tu bila kuangalia operation cost..


Kweli kabisa,

hata hawaangalii hata huyo mtu au hiyo kampuni ina madeni makubwa kiasi gani na marejesho yakoje?!

Na Ndiyo maana wengine huingizwa mkenge na wanawake wengine huishiwa kukopwa kwichikwichi kwa kuzani danga linahela kumbe si simba wala yanga!

Wala hawaangalii going concern ndiyo utasikia baada ya muda mfupi biashara imefilisika na jamaa kufulia!
 
Sijaoa na siwezi kuoa demu ambaye sio bikra..

And finally,kuna tofauti kati ya kutokumkuta mkeo bikra na kujua mtu/watu waliomla mkeo na video footage zipo
Dah ila kwei babu. Sio kwamba tunakuwa judgemental, but tunajaribu kufanya tafakuri ya kina kuhusu maisha.

Huyu binti amepitia mambo mengi sana ujue. Tokea akiwa binti mdogo hadi hapo leo. Dah jamaa ana moyo wa huruma sana basi kuweka ndani hako kabinti..... Ila dah mimi hapana. Kabinti kana msururu wa historia ya matukio.
 
Okay,,bongo ukimiliki asset fulani watu wanahisi hela ipo ya kumwaga tu bila kuangalia operation cost..
hujaeleweka
unazungumzia kupata faida?
kumiliki asset ghali na kuhaimili operation cost zake ndio umilionea wenyewe huo
 
Nawapongeza.Tuwatakie maisha ya familia yenye furaha. Waishi maisha halisi,sio usanii,wavumuliane na kukamilishana.. Wachague marafiki wa familia umri wa makamo walioweza kusongesha maisha,wajifunzr kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…