Ndoa ya Lulu, Majizzo yatangazwa Rasmi leo...

Ndoa ya Lulu, Majizzo yatangazwa Rasmi leo...

Mapenzi Kizunguzungu! By Saida Karoli 😀😁😂🤣😅😄😃😃
 
Namuonea wivu lulu, katoto kadogo kameokota ember dodo, akina warumi tutazeeka midomo wazi tukipiga umbea kuolewa hatuolewi, inabid niache umbea niolewe miaka 45 sina mume wala mtoto mmh
 
Namuonea wivu lulu, katoto kadogo kameokota ember dodo, akina warumi tutazeeka midomo wazi tukipiga umbea kuolewa hatuolewi, inabid niache umbea niolewe miaka 45 sina mume wala mtoto mmh

Mgeukie Mungu, tubu akukomboe kisha atakupatia double blessings Yani atakupa vyote kwa pamoja mume na mtoto au watoto bado hujachelewa!
 
Namuonea wivu lulu, katoto kadogo kameokota ember dodo, akina warumi tutazeeka midomo wazi tukipiga umbea kuolewa hatuolewi, inabid niache umbea niolewe miaka 45 sina mume wala mtoto mmh

Aombe iwe kheri na maelewano na masikilizano na uaminifu maana kufunga ndoa ni jambo moja lakini maelewano na masikilizano na uaminifu na kudumu ni swala lingine!

Ndoa nyingi wanaishi kimkanda mkanda tu!

Halafu ajabu ni kwamba wakati kabla ya ndoa walikuwa wanapendana lakini wakisha rasimisha upendo unapoa, inakuwa ilimradi!

Ndoa hata wahuni wanazifunga tu mbona ishu ni je hiyo ndoa inaheshimiwa na watu wote?
Je malazi yake yako safi?

Je hiyo ndoa ina ubora gani?
 
Namuonea wivu lulu, katoto kadogo kameokota ember dodo, akina warumi tutazeeka midomo wazi tukipiga umbea kuolewa hatuolewi, inabid niache umbea niolewe miaka 45 sina mume wala mtoto mmh
Upo Vizuri Sana, Utaolewa
Hujapata Zile Chupi Za Upako Uvae 😁😂😅😄😄😃
 
Isipokuwa ni kweli kuwa asikwambie mtu imeandikwa :

“Ni kheri kuwa wawili kuliko mmoja “

Kuna umri ukifika wengi wanateswa na upweke mkubwa !

Na kuna umri huwezi tena kupata michepuko wala nini lakini ukiwa na mkeo au mumeo mnapanga na kufanya mambo yenu pamoja maisha yanaenda salama!
 
Zinapatikana wap binam nikavae? Hata waniambie nivae sanda ntavaa binamu maana sio kwa nuksi hizi za kutokuolewa
😁😂😅😄😃😃
Mwaka Huu Usiishe Bila Kutenda Miujiza
Shela Utaivaa Punde,
 
Wamepanga huko Bahari beach,majizo ana hela ya kununua kiwanja bahari beach? Bahari beach viwanja ni eka nzima ,Nyumba ya majizo ni hii hapa chini,kama Lulu anabisha mwambie apige picha nyumba anayoenda mbweni.....Mimi ni fundi ujenzi,kwa bahari beach mwenye maeneo ni Baba yake maria sarungi,amenunua jumba la ghorofa 6 la najim,jirani na magembe.

View attachment 1596872
Mmmh si kwa mashauzi yale[emoji848][emoji848][emoji848][emoji849][emoji15]
 
Back
Top Bottom