tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Mimi naskiza miziki ya malegend ndio huzipenda,kila jioni lazima niskize reggae za bunny spear,bob andy,jimmy railey,marcia griffth yani ndio starehe yanguHatari sana hao watu ingawa wamekata kamba lakini miziki yao bado inaishi.