Ndoa ya Lulu, Majizzo yatangazwa Rasmi leo...

Ndoa ya Lulu, Majizzo yatangazwa Rasmi leo...

True kabisa, stress zinamuua taratibu, hasa za kukosa mume
Haha amebaki tu kuwaita watu masikini,wakati yeye ndio anaviashiria vyote vya kuwa masikini,tena maskini wa akili na mali,kufuatiliafuatilia maisha ya watu ni moja ya ishara za umaskini wake
 
Sitoi kiki kwa waganga njaa, hili jina la warumi nimeli brand mwneyew, naona watu wanatafuta kiki kwa warumi na wao waonekane, ila lazima mjue I’m not your mate, nimewazid maisha, elimu had umaarufu humu[emoji16]

Sipotezi mda wangu kwa machokoraa wasiokua na mbele wala nyuma
 
Aisee!
Wamepanga huko Bahari beach,majizo ana hela ya kununua kiwanja bahari beach? Bahari beach viwanja ni eka nzima ,Nyumba ya majizo ni hii hapa chini,kama Lulu anabisha mwambie apige picha nyumba anayoenda mbweni.....Mimi ni fundi ujenzi,kwa bahari beach mwenye maeneo ni Baba yake maria sarungi,amenunua jumba la ghorofa 6 la najim,jirani na magembe.

View attachment 1596872
 
Kila la kheri kwao, jah awe msimamiz wa maisha ya ndoa yao.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]jaman kuna watu mejua kucharuana. Sameheanenii
 
Bahari Beach ni Low Density Area,Viwanja vya kule vinaanzia eka moja,wengi waliochukua ni "WASHUA" ,watu wenye ukwasi wa hatari ,viwanja vya kule vinaanzia mil 600(Kuanzia Badget Hotel ,Legder Plaza na kuendelea mpaka mpakani mwa kunduchi, Kadri unavyoelekea Ras Kilomoni ndio unaelekea kwenye "B" maana unakuwa kando ya Bahari.
Ras kilomoni ipo wapi
 
Ras kilomoni ipo wapi
Ras Kilomoni ipo bahari beach,barabara ya ununio alipotupwa roma ,hapo kwenye map Rudy's Farm unakata kushoto unaelekea kwenye Umeme wa Zanzibar Unaposhuka kutoka kwenye High Transmission Line.

RK.jpg
 
Kwa mujibu wa taratibu za kanisa katoliki ndoa ikianza kutangazwa inafungishwa baada ya matangazo matatu consecutive so hii ndoa ingetakiwa iwe ishafungishwa unless otherwise kuna tatizo limetokea
So limetokea tatizo gani mtoa post?
 
Wiki iliypita iliku ndo mara ya Tatu , hakuna Tatizo lolote subir umbea tu
 
Kwa mujibu wa taratibu za kanisa katoliki ndoa ikianza kutangazwa inafungishwa baada ya matangazo matatu consecutive so hii ndoa ingetakiwa iwe ishafungishwa unless otherwise kuna tatizo limetokea
So limetokea tatizo gani mtoa post?
Wameitangaza Mara nyingi ili kuonesha msisitizo..
 
Back
Top Bottom