Asante sana point blank hio!Utii na unyenyekevu tu havitoshi kuilinda ndoa bali uvumilivu ndio msingi wa ndoa.
Shida ni mwanamke anayekubali kuporweka! Yote hiyo ni matokeo ya tamaa.Aliporwa? Mtu mzima na akili zake anaporwa kama inavyoporwa simu na kisha anaolewa?
Maajabu
Kafanana na baba yakeAna sura ngumu...kama siku ya harusi ndio kapigwa make up lkn bado muonekano ndio huu.
Samahani lkn
Pamoja na maisha mazuri ya mbinguni(according to maandiko) Lakini kuna baadhi ya malaika walihasi itakuwa mwanadamu?
Kawaida kabla hamjaoana kila mmoja anamuona mwenzake ni mnyenyekevu,ila mkishaoana shetani anaanza kazi yake...
Hapo kwenye uvumilivu sasa napachukia kama nini, ndio shida zipo ila inakera anapokuwa unavumilia vitu vya makusudi kabisaUtii na unyenyekevu tu havitoshi kuilinda ndoa bali uvumilivu ndio msingi wa ndoa.
My dear usipovumilia katu hutakula mbivuHapo kwenye uvumilivu sasa napachukia kama nini, ndio shida zipo ila inakera anapokuwa unavumilia vitu vya makusudi kabisa
Yaani mtu anafanya vitu makusudi kabisa eti uvumilie khaaMy dear usipovumilia katu hutakula mbivu
[emoji122][emoji122][emoji122]Hilo ndo la msingi
Tusishinde kuangalia kuvunjika ndoa za watu[emoji122][emoji122][emoji122]Hilo ndo la msingi