Sinzia
Senior Member
- Jan 6, 2019
- 152
- 125
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakimtokea huwanyenyekea na "kushea" nao ile kitu!
Yeye hajaoaga tu?Huyo kaka yake Heaven Sent atakubali sasa?[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ya ndoa yana changamoto nyingi sana. Hata hivyo, Kwa mtu aliyenipa kiakili hawezi kufurahia matatizo ya watu wengineInasadikika Martha Mwaipaja kaachana na mumewe,
Kisa cha kuleta huu uzi ni kuelezea ninachokiona kwa waimbaji wa Muziki wa Injili hasa hawa wa kike. Kadri mwanamke anavyokuwa na Jina kubwa ndivyo anavyohisi hawezi kuwa chini ya Mamlaka ya mtu fulani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh ajikute tu
😅😅😅😅😅😅Ana sura ngumu...kama siku ya harusi ndio kapigwa make up lkn bado muonekano ndio huu.
Samahani lkn
Kwa kwa kwaMartha ni yupi apo ?
Kuna wakati huyo Martha alikuwa akiwashangaa wanawake waloolewa kuwa kinachosababisha migogoro ya ndoa nyingi ni sababu wanawake waloolewa hawawatii waume zao!
Akajinadi kuwa yeye anajua kutii na kujua vizuri kumhudumia mume!
Sasa kulikoni tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
Utii na unyenyekevu tu havitoshi kuilinda ndoa bali uvumilivu ndio msingi wa ndoa.Ndio ujue kama umejitwika bomu ipo siku litalipuka tu hata ukilishikilia kama yai....wanaume hawanaga shukrani, ukifanya hili wanatamani lile
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama ni kweli alisema hivyo pole yake, ngoja tumcheke hakuna namnaKuna wakati huyo Martha alikuwa akiwashangaa wanawake waloolewa kuwa kinachosababisha migogoro ya ndoa nyingi ni sababu wanawake waloolewa hawawatii waume zao!
Akajinadi kuwa yeye anajua kutii na kujua vizuri kumhudumia mume!
Sasa kulikoni tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe 1 & 2 changamoto yao hasa iko wapi? Maana nataka niingie huko!Wanawake wa kinyakyusa ni changamoto sana aisee wengi wao hawajielewi haswaa linapokuja suala la kutimiza majukumu yao ya kindoa mi mwenyew ni mhanga wa hao watu.
Sent using Jamii Forums mobile app