Ndoa ya Martha Mwaipaja haipo tena?

Ndoa ya Martha Mwaipaja haipo tena?

Inasadikika Martha Mwaipaja kaachana na mumewe,
Kisa cha kuleta huu uzi ni kuelezea ninachokiona kwa waimbaji wa Muziki wa Injili hasa hawa wa kike. Kadri mwanamke anavyokuwa na Jina kubwa ndivyo anavyohisi hawezi kuwa chini ya Mamlaka ya mtu fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ya ndoa yana changamoto nyingi sana. Hata hivyo, Kwa mtu aliyenipa kiakili hawezi kufurahia matatizo ya watu wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wakati huyo Martha alikuwa akiwashangaa wanawake waloolewa kuwa kinachosababisha migogoro ya ndoa nyingi ni sababu wanawake waloolewa hawawatii waume zao!
Akajinadi kuwa yeye anajua kutii na kujua vizuri kumhudumia mume!
Sasa kulikoni tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ujue kama umejitwika bomu ipo siku litalipuka tu hata ukilishikilia kama yai....wanaume hawanaga shukrani, ukifanya hili wanatamani lile

Sent using Jamii Forums mobile app
Utii na unyenyekevu tu havitoshi kuilinda ndoa bali uvumilivu ndio msingi wa ndoa.
 
Kuna wakati huyo Martha alikuwa akiwashangaa wanawake waloolewa kuwa kinachosababisha migogoro ya ndoa nyingi ni sababu wanawake waloolewa hawawatii waume zao!
Akajinadi kuwa yeye anajua kutii na kujua vizuri kumhudumia mume!
Sasa kulikoni tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama ni kweli alisema hivyo pole yake, ngoja tumcheke hakuna namna
 
Back
Top Bottom