Ndoa ya Martha Mwaipaja haipo tena?

Ndoa ya Martha Mwaipaja haipo tena?

Mimi ni muhenga pia. Mwasumbi namkumbuka. Yupo pia David Nkone mjomba wake Upendo Nkone.
Bwana alisema, nitakuja duniani
Kulichukua kanisa langu, kanisa takatifu
Ewe baba na wewe mama utaonesha nini kwa Mungu, umehubiriwa hubadiliki utajibu nini mbele za Mungu..... Zilikuwa na utisho sana nyimbo za huyu bwana mimi kipindi hicho nilikuwa mdogo kila nikisikia nyimbo zake nilikuwa naogopa kabisa kutenda dhambi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli Kabisa.
Nyimbo kama hizi akina Shusho hawawezi imba. Zinawachoma wao kwanza!
 
Ndoa ni very complex ndugu.

Utaishia kufanya many assumptions kuhusu why imevunjika but ukweli wanajuaga wanandoa tu na Mungu wao.

Kwa hiyo tulia, acha majungu.
Nafikiri neno sahihi ni atulize mshono...
 
Back
Top Bottom