Bwana alisema, nitakuja dunianiMimi ni muhenga pia. Mwasumbi namkumbuka. Yupo pia David Nkone mjomba wake Upendo Nkone.
Kweli Kabisa.Bwana alisema, nitakuja duniani
Kulichukua kanisa langu, kanisa takatifu
Ewe baba na wewe mama utaonesha nini kwa Mungu, umehubiriwa hubadiliki utajibu nini mbele za Mungu..... Zilikuwa na utisho sana nyimbo za huyu bwana mimi kipindi hicho nilikuwa mdogo kila nikisikia nyimbo zake nilikuwa naogopa kabisa kutenda dhambi
Sent using Jamii Forums mobile app
mi niliendelea mpaka "Ninang'ara" ilikuwa vyema nayo..'Akutendee nini' ndo alipoanza kutoka nje ya mstari!!Mimi niliishia kwenye 'Thamani ya wokovu wangu' sijui ndio lilikuwa jina la album sina hakika
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo huwa nasikia mtaani tu sijawahi hata kuifuatiliami niliendelea mpaka "Ninang'ara" ilikuwa vyema nayo..'Akutendee nini' ndo alipoanza kutoka nje ya mstari!!
Nafikiri neno sahihi ni atulize mshono...Ndoa ni very complex ndugu.
Utaishia kufanya many assumptions kuhusu why imevunjika but ukweli wanajuaga wanandoa tu na Mungu wao.
Kwa hiyo tulia, acha majungu.
Ewaaaaaaa.Nafikiri neno sahihi ni atulize mshono...
Ukijibiwa nitag chap mkuu
Mabadliko mabadliko tu mkuuWatakwambia mshamba. Kuna mmoja nilimwambia mimi gospel za siku hizi mbona sizielewi? Akaniambia ndio gospel za kisasa loh nikasema kwa heri
Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko insta siku hizi anatuonesha Bata[emoji16][emoji16]... Na kiswahili chake cha magumashi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Mimi mwenyewe nimeshangaa eti Shusho? Nilishaacha siku nyingi kusikiliza nyimbo zake hata sielewi anaimba nini siku hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajui kiswahili?Yuko insta siku hizi anatuonesha Bata[emoji16][emoji16]... Na kiswahili chake cha magumashi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Akijue wapi?[emoji57][emoji57][emoji57]...Cha kukandamiza kama wacongo vile
[emoji23][emoji23][emoji23] nikajua anajua sana kimalkia kwa hiyo kiswahili kinampa tabuAkijue wapi?[emoji57][emoji57][emoji57]...Cha kukandamiza kama wacongo vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Haahaaahaaa....kimalkia sijawahi sikia akiongea ila kiswazi mmmh[emoji849].... Bado hajawiva japo kaolewa na mbongo miaka kibao na kukaa kote dar[emoji23][emoji23][emoji23] nikajua anajua sana kimalkia kwa hiyo kiswahili kinampa tabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimalkia huwa namsikia tu kwenye nyimbo. Mbona unasema kaolewa na mbongo kwani ye sio mbongo?Haahaaahaaa....kimalkia sijawahi sikia akiongea ila kiswazi mmmh[emoji849].... Bado hajawiva japo kaolewa na mbongo miaka kibao na kukaa kote dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaahaaa....kwahiyo we unajuaga ni mbongo[emoji849][emoji849]...sio wa hapa ni majirani zetuKimalkia huwa namsikia tu kwenye nyimbo. Mbona unasema kaolewa na mbongo kwani ye sio mbongo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Heee kumbe sijawahi kujuaHaaahaaa....kwahiyo we unajuaga ni mbongo[emoji849][emoji849]...sio wa hapa ni majirani zetu
Sent using Jamii Forums mobile app