Ndoa ya Martha Mwaipaja haipo tena?

Ndoa ya Martha Mwaipaja haipo tena?

Martha Mwaipaja ni mzaliwa wa Ngonga Wilayani Kyela. Wanawake wengi wa Kyela huwa hawadumu kwenye ndoa. Sijui wana nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Baba yake alikuwa anaitwa Essau (rip)...kwao sio Ngonga ni Isanga

....ila nafikiri walikulia Iringa coz baba yao brother Essau alikuwa anachezea mpira timu flani ya Iringa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Martha nimesikiliza youtube akihojiwa na christine shusho . she seems to ne very inocent ! Ila aliolewea na kicheche!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama ni kweli alisema hivyo pole yake, ngoja tumcheke hakuna namna
Maneno...
malisa_gj-20191212-0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Martha umekosea wapi?
Maana wewe ulisema huna ujeuri wala mabishano kwa mume mumeo!
Wewe mke mwema yamekushindaje?
Yani umeshindwa kuvumilia kweli?

Kwani huna Roho Mtakatifu?

Tunda mojawapo la Roho ni uvumilivu, wewe Martha umeshindwa kuvumilia?




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha kujifunza ni kuwa siyo wote wanasema wameokoka wanamaanisha, kuna walokole fake wengi sana, hata watumishi wa Mungu fake wanaojifanya wachungaji na manabii fake wapo wengi, wanafanya kama yale wafanyayo wasioamini.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom