Ndoa ya Mh. Lazaro Nyalandu inapumilia mashine

Nadhanitufike waati kuwepo ukomo wa umri wa kuitwa yatima. Jitu Zima linitwa yatima hii nadhani sio sawa kabisa.

Ulitaka aitweje?Yeyote asiye na wazazi ni yatima,tofauti ni kuwa kuna yatima mtu mzima na yatima mtoto
 
Ulitaka aitweje?Yeyote asiye na wazazi ni yatima,tofauti ni kuwa kuna yatima mtu mzima na yatima mtoto

Mama mzima una watoto na wajukuu unang'ang'anus eti uitwe yatima! Lakini sijamaanisha wewe #La Princesa.
 
Ulitaka aitweje?Yeyote asiye na wazazi ni yatima,tofauti ni kuwa kuna yatima mtu mzima na yatima mtoto

Hata mie sina wazazi wote wawili ila kwa umri nilionao kwa kweli kujiita yatima naona haiji kabisa. Na watoto nilionao, mie nikianza kulialia eti mie yatima then itakuwaje sasa. Kwakweli mie sio yatima bali wazazi wangu walishafariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…