Ndoa ya Mh. Lazaro Nyalandu inapumilia mashine

Ndoa ya Mh. Lazaro Nyalandu inapumilia mashine

Faraja hana jeuri ya kumuacha muheshimiwa hata robo. Ni wale watu wa SHOW BUSINESS bora hata ateseke lakini aonekane kaolewa. Mnyiramba yule na si unajua wanyiramba kwa kupnda ndoa hawana mpinzani? Nyalandu hata fanyaje Faraja haachii ngazi pale.
Faraja sio Mnyiramba marehemu mzee Kotta ni msamba na marehemu mama yake ni mngoni. Mnyiramba ni muheshimiwa.
 
Muulizeni na yeye Faraja kilichompeleka UK miezi michache kabla ya kufunga ndoa ni nini?
Faraja alikuwa anasoma huko na amekaa miaka minne au mitano kama sikosei na watoto wake wote kajifungulia Uk. Yeye na dada yake Genivivu mke wa Isack Kasanga kwani dada yake alikuwa anafanya kazi standard charted bank UK?
 
umelielewa swali au umetumwa umtetee?
 
Kamezichuma then kanataka kumtafuta size yake kafaraja,ndo madhara ya kuolewa kwa sababu za kimasilahi.

Faraja ni wife material na Nyalandu ni her everything,Anampenda sana Mmewe,mdada wa watu ni yatima so family kwake ni kila kitu....
 
Kamaumeoaunaakilitimamuhotoshabikoahiishidayamwenzako,,,,gnyt
 
Faraja hana jeuri ya kumuacha muheshimiwa hata robo. Ni wale watu wa SHOW BUSINESS bora hata ateseke lakini aonekane kaolewa. Mnyiramba yule na si unajua wanyiramba kwa kupnda ndoa hawana mpinzani? Nyalandu hata fanyaje Faraja haachii ngazi pale.

Na iwe hivyo ili awakomeshe mashangingi wa mjini waliokosa dira.Naheshimu wanawake wenye msimamo kwani hakuna wanaume malaika dunia hii!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Faraja ndo mnyiramba! Sasa imekuwaje mnyaturu akawa mbunge wa Iramba? Si kwa wanyiramba kule?

Kama hujui kitu bora unyamaze kama nyalandu ni mbunge wa Iramba Mwigulu naye ni mbunge wa wapi?
 
sijakuelewa
hii thread sijachangia chochote naona umeni mention

Mwambie akulipe mkuu atakutaja taja vipi bila ruhusa yako
Kama Coke wanadaiwa kwa kuwaandika wasanii kwenye makopo yao ya soda
 
Chezeaaaaaaa watoto wa mwananyamala ile mimba kwake ni kama jackpot bingo;yaani hawa wanaume wa kibongo nawachukia maskini faraja wa Watu na hapo sio tasa

Mila za kiafrica ni kuoa wanawake wengi, huu uzungu ni kulazimisha tu. Michepuko haiishi kwa sababu ya kujaribu kukimbia kivuli ambacho waafrika hawawezi.
Yakifichuka ya wenzenu mnawasema ya kwenu aa!
 
Mila za kiafrica ni kuoa wanawake wengi, huu uzungu ni kulazimisha tu. Michepuko haiishi kwa sababu ya kujaribu kukimbia kivuli ambacho waafrika hawawezi.
Yakifichuka ya wenzenu mnawasema ya kwenu aa!

Tatizo hapa c mila za kiafrica tatzo ni kabila jaman...!
HIVI UNACHEZEA WANYATURU WEWE, c wanawake c wanaume ni malaya wa kutupa kushinda hata wahaya ambao huwa tunajua ndo tabia yao..Habari ndo hiyo.
 
Faraja ni wife material na Nyalandu ni her everything,Anampenda sana Mmewe,mdada wa watu ni yatima so family kwake ni kila kitu....

Nadhanitufike waati kuwepo ukomo wa umri wa kuitwa yatima. Jitu Zima linitwa yatima hii nadhani sio sawa kabisa.
 
Back
Top Bottom