GSW
Member
- Feb 3, 2012
- 35
- 19
Faraja sio Mnyiramba marehemu mzee Kotta ni msamba na marehemu mama yake ni mngoni. Mnyiramba ni muheshimiwa.Faraja hana jeuri ya kumuacha muheshimiwa hata robo. Ni wale watu wa SHOW BUSINESS bora hata ateseke lakini aonekane kaolewa. Mnyiramba yule na si unajua wanyiramba kwa kupnda ndoa hawana mpinzani? Nyalandu hata fanyaje Faraja haachii ngazi pale.