bily
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 8,029
- 5,796
dah jamaa akisoma hii post mbona atapelekwa Hindu Mandal.
mbona faraja na yeye kaliwa sana na yule bosi wa bank
tena meeting point yao ilikuwa mlimani city
anakuja na gari lake anaingia kwenye gari la huyo jamaa