Ndoa ya Mh. Lazaro Nyalandu inapumilia mashine

Faraja ndo mnyiramba! Sasa imekuwaje mnyaturu akawa mbunge wa Iramba? Si kwa wanyiramba kule?
Singida Kaskazini ni kwa Wanyaturu, hivyo Nyalandu yupo home kwake...sema tatizo hataki kuishi nao ndiyo maana amekimbilia Arusha

Faraja ndo mnyiramba! Sasa imekuwaje mnyaturu akawa mbunge wa Iramba? Si kwa wanyiramba kule?

Dah we toto tundu naona unarusha jiwe ikulu... watoto wa tengeru hawakawii kuja hapa kukana wakiongozwa na MATOLA... hahahaha... wanarusha mawe wamesahau kama wanaishi nyumba ya vioo?
 
Ha ha ha ha ila kajitahidi toka 2008 ktk ndoa kama sikosei mpaka Leo!!!
 
Chezeaaaaaaa watoto wa mwananyamala ile mimba kwake ni kama jackpot bingo;yaani hawa wanaume wa kibongo nawachukia maskini faraja wa Watu na hapo sio tasa
Mpango uliopo ni kwa Aunty Ezekiel Toto la Kinyambu kwenda kujifungulia Marekani kama ilivyo kwa Faraja kwa watoto wake wawili
 
Chezeaaaaaaa watoto wa mwananyamala ile mimba kwake ni kama jackpot bingo;yaani hawa wanaume wa kibongo nawachukia maskini faraja wa Watu na hapo sio tasa

Yaani inakera Sana aiseee......waangaliege wanawake wakuchukua bwana.We mtu kama aunty wa kazi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…