Ndoa ya Mh. Lazaro Nyalandu inapumilia mashine

Ndoa ya Mh. Lazaro Nyalandu inapumilia mashine

Ndo maana yake na ukweli ndo huo sema tu jasiri haachi asili.Yaan tena kabila la muheshimiwa wanapenda nyama mbichi hatari.........

Ila muheshimiwa huyu ni kilaza sana na pesa alizonazo bado anafanya ujinga hadi wa kushtukiwa basi inaonesha yeye ni mvuaji sana wa skirt za wadada.
 
Anapenda warembo balaa

Ila muheshimiwa huyu ni kilaza sana na pesa alizonazo bado anafanya ujinga hadi wa kushtukiwa basi inaonesha yeye ni mvuaji sana wa skirt za wadada.
 
hahahahahahah. unajua sisi binadamu watu wa jabu sana...alimfuata ex wake wake wa kwanza kupasha kiporo lakini akatolewa nje.

Khaaaaaa......na kweli ajabu!!!wamekutana pipa na mfuniko
 
Ila hili swala la Ndoa zisizokuwa na Uaminifu mbona lakwetu sote , yaani ni two way Traffic , either Uendelee au usepe basi ila Wanaume wengi wenye Pesa lazima Vimada utajipanga nao Foleni , ni sheegnder ,
 
Jaman mimba ya aunt ni ya dansa mbona mnalazmisha mambo ona sasa watu wanaachana kwa uzushi wenu
 
Jamani mie hapa sielewi.aunt kapewa ujauzito na nyalandu au mcheza shoo wa diamond?
 
Back
Top Bottom