chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,559
Faraja ndo mnyiramba! Sasa imekuwaje mnyaturu akawa mbunge wa Iramba? Si kwa wanyiramba kule?
Ndo maana yake na ukweli ndo huo sema tu jasiri haachi asili.Yaan tena kabila la muheshimiwa wanapenda nyama mbichi hatari.........
Ila muheshimiwa huyu ni kilaza sana na pesa alizonazo bado anafanya ujinga hadi wa kushtukiwa basi inaonesha yeye ni mvuaji sana wa skirt za wadada.
Anapenda warembo balaa
Mkuu funguka bwana
Yaani inakera Sana aiseee......waangaliege wanawake wakuchukua bwana.We mtu kama aunty wa kazi gani?
We mwanamke umejuaje hayo...
hahahahahahah. unajua sisi binadamu watu wa jabu sana...alimfuata ex wake wake wa kwanza kupasha kiporo lakini akatolewa nje.
Faraja anavumilia mengi
Faraja ndo mnyiramba! Sasa imekuwaje mnyaturu akawa mbunge wa Iramba? Si kwa wanyiramba kule?
Mwache avumilie maana wanapenda udada wa mjini
Khaaaaaa......na kweli ajabu!!!wamekutana pipa na mfuniko
Nakwambia.... Ndoa ndoano na maisha mazuri anayataka vasi tabu tupu
jinsi ulivyopigwa mtungo.mbona ukikoipwa huji kuzungumza huku jiheshimu wewe nitakutapikia sasa hiv uone shida.au unafikir kuopolewa kirahis jf