Ndoa ya miaka 24 yavunjika baada ya mume kutambua watoto watatu sio damu yake

Haya Maisha Ni Kumtegemea Mungu tuu... Uadilifu Miaka hii umeshuka Sana... Bila Ndoa kusimamiwa na kuongozwa na Mungu Mwenyewe ndugu zangu Ni kilio kikubwa Sana... Tukumbuke pia Uzinzi Ni kosa Kuu..
 
Vijana wa kiume hatutakiwi kuwalaumu wanawake kuwa wanapenda pesa. Hii ndyo mentality waliyoumbiwa.

Simba jike hutafta dume lenye nguvu ili awe na uhakika wa usalama wa watoto wake pamoja na chakula.

Hivyo hivyo hata kwa mwanamke. Mwanamke mwenye akili timamu hatakiwi kuzaa ovyo ovyo. Mentality walioumbiwa nayo ni kuhakikisha anakoenda kuzaa watoto wake wanauhakika wa kupata chakula bora, elimu bora, afya njema na maisha mazuri na yenye furaha kwa ujumla.

So mwanaume wewe kaa lege lege utaishiwa kugongewaa. Tafta pesa na ujue kuzitumia.
 
Watoto 3 Duh!
Huyo Mwanamke kiboko, ni Muuaji.....!
Wanawake hawana Mdhamana!
Kitaalamu kwa mwanamke asiye bikra ili ashike mimba ni lazima ashiriki ngono na mwanaume kwa zaidi ya awamu sita (6) akiwa katika siku zake za hatari......kwahiyo kwa haraka haraka boss kamtomber mke wa jamaa zaidi ya mara kumi na nane (3×6=18) mpaka kumzalisha hao watoto watatu (3) na jamaa yupo yupo tu hana A Wala Be[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Dah ngoja nitafute hela
nitarudi...
 
Watu kila siku wanavuta kwa ajali za barabarani na bado watu wananunua magari kila siku.
 
Reactions: THT
vipi wanao lala na ma house boy una maoni gani [emoji441]
Hawagongi poa...

Ukitafuta hela utanunua mashine nzuri za mazoezi utaweza kwenda gym yoyotee uitakayo.

Kifupi pesa zina SIDE EFFECT nyingi sanaaa.

#YNWA
 
Sio kweli. .mara moja tuu siku ya hatari unaweza kusababisha mimba.. we kaa endelea kuhesabu awamu.

Sent from my Redmi 5 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: THT
Ya kweli haya?
 
Mbona magari yanapata ajali kila siku, wewe umeacha kusafiri.?
Yaani mama unataka kufananisha na maumivu ya kukosa usingizi, kukosa appetite, maumivu ya kuwaza na kukoswakoswa na gari, maumivu ya kuona DUNIA nzima imekuhelemea na Ajali..!!

For more than 10 yrs ulikua unajifariji Hawa ni wanaao na ukajitoa hasa.
Leo eti unaambiwa "SIO WANAO" kwamba all what you have invested in them from your time and money it's nothing A.K.A you have lost all.

Hi li yoyote inafanana na ajali?

#YNWA
Wadogo zetu hawa bwanaa .Kazi ipo
 
Your fact not a fact to everyone
Kama wewe umeamua kutooa wewe then don't drag others to your zone.
Kila mtu na chuguzi zake katika maisha..uswashawishi watu kuchagua chuguzi uliyochagua
Kwahiyo huyu bahari wa Kenya alichagua mkewe kunyanduliwa ili yeye alee shaw* zisizo zake?

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…