Ndoa ya miaka 24 yavunjika baada ya mume kutambua watoto watatu sio damu yake

Ndoa ya miaka 24 yavunjika baada ya mume kutambua watoto watatu sio damu yake

Haya Maisha Ni Kumtegemea Mungu tuu... Uadilifu Miaka hii umeshuka Sana... Bila Ndoa kusimamiwa na kuongozwa na Mungu Mwenyewe ndugu zangu Ni kilio kikubwa Sana... Tukumbuke pia Uzinzi Ni kosa Kuu..
Mungu hausiki na tamaa zako.
Ye alishamalizaga Kazi yake kwa kukupa utashi, akili na maarifaa.
Kazi ILIYOBAKI ni YAKO.

Baada ya kufanya yote na siku ya 7 alipumzika.

#YNWA
 
Mwanamume huyo aliamua kufanyia watoto wake wanne uchunguzi wa DNA baada ya kuanza kumshuku mke wake
  • Ripoti ya uchunguzi huo ilionyesha kuwa ni baba halisi ya mtoto mmoja pekee kati ya wanne ambao aliwalea pamoja na mke wake kwa miaka 24
  • Mke wake alikiri kuwa bosi wake ndiye baba ya watoto watatu wa kwanza
Tafakari haya, baada ya miaka 24 ya ndoa, unagundua kuwa watoto watatu kati ya wanne ambao umekuwa ukiwalea pamoja na mke wako si wako halisi.


Ndoa ya miaka 24 yavunjika baada ya mume kutambua watoto 3 si wake.

Japo visa hivi hutokea kwenye filamu pekee, jamaa mmoja ambaye alikumbana na hali hii alithibitisha kuwa mambo haya ni ya kweli.

Kupitia kitandazi cha Twitter, Khasakhala almaarufu Julius Mmasi aliwaacha wanamtandao vinywa wazi baada ya kufichua kuwa rafiki wake wa karibu alilazimika kuvunja ndoa yake ya miaka 24 na mke wake baada ya matokeo ya DNA kubainisha kuwa ni baba halisi wa mtoto mmoja pekee kati ya wanne ambao aliwalea pamoja na mke wake.

Jambo la kuhuzunisha zaidi ni kuwa mke wake alikiri kuwa bosi wake ndiye baba ya watoto watatu wa kwanza

Mwanamume huyo aliamua kufanyia watoto wake wanne uchunguzi wa DNA baada ya kuanza kumshuku mke wake.

Kwa uchungu mkubwa, aligundua kuwa mabinti wake watatu ni watoto wa bosi wa mke wake huku kitinda mimba ambaye ni wa kiume ndiye mtoto wake pekee halisi katika ndoa hiyo.

"Watoto watatu wa kwanza wa kike, wawili walishamaliza tayari kidato cha nne mwingine yuko kidato cha nne. Mke wake alikiri kuwa watoto watatu wa kwanza ni wa bosi wake.

Utamshauri nini mtu kama huyu ?"
 
Binadamu sote ni ndugu; kama alimchukua binti wa watu asiyehusiana naye moja kwa moja akawa mkewe, wakaishi pamoja kama mtu na mzazi mwenzie, kamwe hawezi kushindwa kuwahudumia na kuwapenda malaika hawa watatu. Tumieni akili na busara ili ulimwengu uendelee kuvizawadia vizazi vyenu tunu itokanayo na maamuzi yenu mema. Kitu chochote kisichokuua, kitakuimarisha japo kinaweza kuwa complicated situation.
 
WANAWAKE wako very fake, nilipata mwanamke Twanga Pepeta, ana shepu, ana kiuno cha ukweli, yaani kama panga boi.
Nilipompeleka gheto baada ya kusumbuliwa miezi sita, wallah, ni Allah pekee ajuaye nilichokipata.
Kule dnasi alikiwa anakatika kichizi, mikatiko 219%
Nilipo mpeleka ghetto, kudadaki, mikatiko kama yote, Kama joto la Petersburg Urusi kipindi cha winter, -678°c.
Hamna kiuno, hata kujigeuza tu ukimgeuza hajiwezi, kawa mzito kuliko maiti.
Kwakuwa alikuwa anachezesha tako moja huku lingine limetulia. Nikaamua kuomba kijiboga, yerewiiiiii........ Nilikula nakoz za kufa mtu. Nakoz jumlisha makonyagi nikajikuta niamkia hospitali
Kumbe Yule demu alisomea uninja China, pale Twanga Pepeta alikuwa kwenye interview tu ya kazi
 
Binadamu sote ni ndugu; kama alimchukua binti wa watu asiyehusiana naye moja kwa moja akawa mkewe, wakaishi pamoja kama mtu na mzazi mwenzie, kamwe hawezi kushindwa kuwahudumia na kuwapenda malaika hawa watatu. Tumieni akili na busara ili ulimwengu uendelee kuvizawadia vizazi vyenu tunu itokanayo na maamuzi yenu mema. Kitu chochote kisichokuua, kitakuimarisha japo kinaweza kuwa complicated situation.
Kwakuwa hayajakukuta ni rahisi kuongea kama unavyoongea
 
DNA ni mkombozi mkubwa kwa ME ule upuuzi wa mwaka 47 kitanda hakizai haramu sasa umebaki kuwa ni upuuzi tu. Machale yakikucheza talk to DNA ukiona hapa Nchini wanazingua hapo kwa jirani zetu Nairobi watakusaidia bila hiyana. The TRUTH will always set you free.
 
Kwakuwa hayajakukuta ni rahisi kuongea kama unavyoongea
You must allow your brain's intellectual capacity to control your entire body; hapo utakuwa kiroho safi. Put yourself in the whole situation ama scenario, siyo kujiegemeza sympathetically kwa baba tu, ndipo utaelewa.
 
Ila wanawake amechepuka akaona haitoshi akaamua kumletea watoto feki.. Alishindwa hata kidogo kumbania boss wake siku za hatar!
Tunaweza kumlaumu saaana huyu mama watoto, but I am poised to believe kwamba kama mazingira yote yangewekwa hadharani, bila shaka everybody, almost including jamaa hawa wawili -- hawa reckless babaz wawili, wangeungana woooote na sisi kuwalaumu jamaa hawahawa wawili. Ukinielewa basi hujalewa!
 
Wanaume tunalea watoto wengi sio damu zetu
Yeah, hata mpwa kumbuka siyo damu yako. Halafu, nadhani, hayo ni malipo ya kwenda kujichepusha huko nje -- huko home [emoji536] your wife naye anajichepukia kwa mwingine. Ngoma droo, au siyo!??? Mwanaume hashiki ujauzito wa uchepukaji wake, lakini lazima alee mtoto wa mchepuko. Nadhani ndiyo mantiki ya uleeeee msamiati wa 50 / 50 hata bila kuwezeshwa tunaweza!!!
 
Back
Top Bottom