Kuna jamaa muingereza mzungu huyu alikuwa ba watoto watatu wote wa ME na wa mwisho alikuwa teenager. Basi yeye alijua watoto wale ni wake wa ndoa.
Katika kufanya medical check up ya kila mwaka Dr akagundua ana ugonjwa ambao husababisha ME asiweze kupata watoto.
Dr akamtonya kuhusu alichokiona kuhusu ugonjwa ule na athari zake ikiwemo kutokuwa na uwezo wa kutia mimba. Jamaa akaanza kujitetea kwamba yeye ameoa na ana watoto watatu. Dr hakutaka ligi akajinyamazia.
Habari ile ya kwamba ugonjwa aliokuwa nao ni kutokuwa na uwezo wa kutia mimba ikamkosesha amani moyoni hadi akaamua kuutafuta ukweli kupitia DNA. Ndipo kuwasiliana na watoto wake ili wafanye DNA mmoja alikataa kwa kudai I don’t want to know anything about DNA I know where you’re going with this stupidity, you are my father and you’ll forever remain my biological father. Wale wawili waliopima majibu yakaja kwamba yule ME si Baba yao na wakamwambia wewe ni Baba yetu umetulea tangu tunazaliwa hadi tumekuwa watu wazima na umetufanyia mambo mengi sana. Hatumjui Baba mwingine zaidi yako.
When Richard Mason’s doctor informed him in 2016 that he had cystic fibrosis, he also noted that his patient was unable since birth to have biological children because of the condition.
www.foxnews.com