Ndoa ya miaka 24 yavunjika baada ya mume kutambua watoto watatu sio damu yake

Ni kawaida inafanywa na wengi. Kuna jirani yangu analea watoto wa nje wawili wa mumewe. Kwani kuna tofauti gani?
Nampongeza sana wife kwa kumnyoosha mjamaa
 
Eti ^huyo jambazi!^ Huyo ni mzazi mwenzio ujue. Nimesema awali kuwa hiyo ni ajali kama ajali zingine. Sasa jinsi ya kushughulikia ajali unakosea kwa sababu nature ya response action plan yako inaonesha hujui duniani kuna majanga makubwa na madogo. Kuhusu talaka, pamoja na kwamba inaruhusiwa kwa sababu ya zinaa, bado sidhani kuwa ni solution. Kama umempenda mkeo miaka yote hiyo, mmeishi pamoja, huwezi kushindwa kusamehe mkamove on. Makosa yanafanyika sometimes, na watu wanajifunza kutokana na makosa. Kuwa na shockabsorber (shokomzoba??) ni muhimu sana maishani.
 

Hahhaaa naongeza na nyingine katika zile mbili inawezekana pia wewe unaishi mwanamke ambaye anakupa kila kitu yaani wewe pale huna unacho offer hivyo unahitaji kulikua somo la uvumilivu vzr ili uendelee kuhudumiwa....

Narudia tena haya sio mawazo ya mwanaume ambaye testosterone yake ipo sawa yaaani haya sio mawazo ya mwanaume kabisaaaaaaaaaaa nimekufuatilia toka comment yako ya mwanzo .Narudia tena wewe sio mwanaume.

Nipo radhi tubet kwa hili.
 
Ni kawaida inafanywa na wengi. Kuna jirani yangu analea watoto wa nje wawili wa mumewe. Kwani kuna tofauti gani?
Nampongeza sana wife kwa kumnyoosha mjamaa
You have a good point, ila kushangilia kwako hapa mwishoni kunaonesha wazi hauko serious hata chembe. Believe it or not, this is no joke wala small matter. Mm nazungumzia jinsi ya kuhendo hicho kitendo kisicho maadili cha hawa wanandoa. Habari ya seriousness yake is beside the point.
 
Binafsi maamuzi yangu ni kumtoa duniani huyo mama km bado hajawaambia ukweli hao watoto watatu,

Then ntaendelea kuwalea watoto wote kama wanangu bila kinyongo wala nini maana nimetoka nao mbali.
Nipp upande wako
 

Kusamehe si rahisi mkuu, I totally understand him...

Ukweli sisi ni vessels tumebeba mbegu/DNA ambayo tunapaswa ku pass on,,,,, hili ndio lengo/ purpose kubwa la sisi kuishi hapa duniani..to pass on our mbegu, sasa tunatafuta offsprings na kuwalea until maturity, in that way we are sure that the genes will now be passing on, sasa kuambiwa hao sio wanao ni sawa na kuambiwa no mbegu yako haijawa passed on, ni humiliation kwa kweli. Na kuishi na hao watoto kila siku ni kuwa na constant reminder kuwa mbegu yako haijawa passed on, embu tuongee kiubinadamu, wewe ungeweza????.... second ni parental investment, hii ni muda aliopoteza kuwalea watoto wasiobeba mbegu yake, ambapo huo muda angeweza ku mate na kupata watoto wenye mbegu yake na kuwalea mpaka na wao wafike maturity,,,,,,, Baba wa watu namuonea huruma pia
 
Kwa haraka haraka nmekumbuka visa kama sita, vikhusisha watoto wakipewa wazazi wa kiume tofauti
 
Mawazo yako hayapingwi wala kupigwa fimbo as long as your mind is free -- uko free kuzungumza. Akili yako inaruhusiwa kuwander na kuwonder as much as you wish. Najua umezoea kwamba mwanaume ni yule mwenye reactions so aggressive, so preposterous, so critical kiasi kwamba akifanya jambo hadi mtaa wa saba lazima watasimulia mwaka mzima. You must also bear in mind that there might be other alternative options. Usikariri!!!

Halafu ulivyozoea kubet sasa!??? Watunzeni na mwahudumieni wachumba & wake zenu, acheni kushinda kwenye betting stations.
 

Sasa kama wewe mwanamke lakini angalau umeweza kuliangalia hili swala na kulivaa km mwanaume ukajua jinsi gani huyu mwanaume anateseka hlf eti kuna mwanaume timamu kabisa eti anadhani hili ni swala dogo sana kuli handle,imagine...



Mi nasema huyu sio mwanaume kabisa ukiangalia comments zake utagundua hana hata ile empath ndogo tu ya kugundua hisia anayopitia mwanaume mwenzake,sasa Je huyu ni mwanaume?jibu ni No, Huyu si mwanaume.
 

Hayo ya kusema huyu mwanaume huyu sie hapana mkuu, na yeye yuko huru kuchangia anachojiskia, msichukulie serious sana humu JF
 
Namwonea huruma sana mm huenda kuliko any other person. Hiyo nimesema, na ninarudia tena. Sasa mtu anakuja na idea za kuwafanyia kitu mbaya, hiyo ni akili au matope!??? Afadhali mara mia ajiaminishe kiume kwamba DNA test must by all respects be defective and delusional ili apate relief aweze kumove on. Tatizo huwa siyo tatizo hasa kama akili haijalifanya liwe tatizo. The problem is how you set your mind. Have a big picture. Wapo Watu wanaoiba ama kuwanunua watoto, wanaishi nao kama wazazi wao biologically na furaha na amani wanapata, seuze hili!???


 

Nipo serious kuliko unavyodhani. Njia yako ya kuhandle hiyo issue ni sawa
 
Unamuita Kaka umejuaje kama ni wa kiume?
 
Ni kawaida inafanywa na wengi. Kuna jirani yangu analea watoto wa nje wawili wa mumewe. Kwani kuna tofauti gani?
Nampongeza sana wife kwa kumnyoosha mjamaa
Sasa huyu si anajua na amekubali kulea semea wale unao lea bila kujua
 
Alichofanya mke ni cha kawaida sana acheni kupanic

Acha kupumbazisha na kupoteza watoto wanaosoma hii thread humu,
Ukawaida unakujaje wakat unafunga ndoa ? ?
Hivi unaweza taja sababu za msingi za kumzalia nje mume ? Kama zipo

Ni kawaida inafanywa na wengi. Kuna jirani yangu analea watoto wa nje wawili wa mumewe. Kwani kuna tofauti gani?
Nampongeza sana wife kwa kumnyoosha mjamaa

Yani Unamsifia mwanamke mwenzio kwa kuzaa nje ya ndoa ? ?
Wadau hivi ni akili hii ?? Au umekusudia kufurahisha genge tuu
 
Na huyo pia mwite kuwa ni mwanamke. Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…